G
Kwanini umekuja na kutaka kufunguka sasa baada ya mama kuwachimba mkwara jamaa wa kampuni nyingine? Unajua nini kuhusu utekaji na mauaji yanayoendelea sasa?Mpo hapa?? Wa Zima nyie🥳🥳🥳🥳
Nimewamisss sana jamani😄🤣🤣
Mwenye swali namkaribisha leo, niulizie chochote, nataka kufunguka leo 🤣🤣🤣 bila codes kabisa, anyways vyovyote vile!!!
But usiniulize personal things, 🤣😀 I got time today............
yoga mama, nilikukumbuka sana uwe salama huko ulipo.Mpo hapa?? Wa Zima nyie🥳🥳🥳🥳
Nimewamisss sana jamani😄🤣🤣
Mwenye swali namkaribisha leo, niulizie chochote, nataka kufunguka leo 🤣🤣🤣 bila codes kabisa, anyways vyovyote vile!!!
But usiniulize personal things, 🤣😀 I got time today............
Wacha we🤣🤣🤣1) Huu utekaji nani ni mhusika mkuu??
2) Mama anahujumiwa??
3) Mama anakubalika na mfumo??
4) Born town vipi?? Amekaa sana kimya.Vipi ameelekea kibra??
5) Mtoto pendwa na wenzake wanarudishwa kwa nguvu, kuna kitu kizito kinaandaliwa??
6) Maandamano yana mkono wa nani??
7) Msiba mzito upo??
8) Mama leo kawagusa wenye dunia yao, atatoboa??
9) Ila safisha safisha ikulu ililenga nini??
10) Nani ajaye baada ya mama??
11) Tupe sababu ya kutokea leo jukwaani mara baada ya mama kuongea!
12) Unaonekana kama kuna kundi una maslahi nalo na unatumika kuchafua kundi lingine.Je, ni kweli??
Wow!! Ntakoma today, nimeyataka 🤣🤣🤣Nashukuru sana kukuona leo au kukusoma leo ukiwa na furaha tele tofauti na yoga wa kwenye Note book. Nina maswali yafuatayo.
1. Kulikuwa na purukushani ya BT na PK kwamba mmojawapo angeng'ata shuka ili kuyafanya mambo ya kampuni yaende vizuri. Je mpango huo bado upo palepale au umeahirishwa?
2. Kwakuwa mama kaamua kuwarudisha kwa kasi waliokuwa kwenye serikali ya JPM je kuna mahali tiss wamegundua kuna makosa waliyafanya kumu excute the boss?
3. Mama aliwarudisha kina Nape, Januari na baadhi ya wakuu wa idara na taasisi mbalimbali kwa aidha kudhani au kuonewa na the late, unafikiri ni kipi kilimfanya kuwatengua tena kwenye nafasi zao hasa kina Nape na Januari?
4. Ni nini mwelekeo wa kampuni kuhusu angalau kuwa na chama mbadala wa CCM ili basi angalau tuwe na mabadiliko ya uongozi tofauti na sasa ambapo chama twawala ni kama kimejimilikisha nchi na kimekosa maono ya kulipeleka taifa mbele.
5. Je ulitishiwa amani ndiyo maana ukaamua kuuacha mwendelezo wa dark days bila kujali maumivu makali tuliyokuwa tunayapitia tuliokuwa na uraibu mkubwa na uzi wako.
Ahsante kwa sasa!!
🤣🤣🤣 Tunazu gumza tu hapa!!Kwanini umekuja na kutaka kufunguka sasa baada ya mama kuwachimba mkwara jamaa wa kampuni nyingine? Unajua nini kuhusu utekaji na mauaji yanayoendelea sasa?
yoga shukurani kwa kutoa fursa ya kuuliza maswali au nimechelewa?Mpo hapa?? Wa Zima nyie🥳🥳🥳🥳
Nimewamisss sana jamani😄🤣🤣
Mwenye swali namkaribisha leo, niulizie chochote, nataka kufunguka leo 🤣🤣🤣 bila codes kabisa, anyways vyovyote vile!!!
But usiniulize personal things, 🤣😀 I got time today............
1. Je madai ya mama wa taarabu na mipasho kwamba kampuni fulani kwa mjibu wa intelligence walikuwa na mpango fulani wanapanga kisirisiri dhidi yake yana ukweli kiasi gani?Mpo hapa?? Wa Zima nyie🥳🥳🥳🥳
Nimewamisss sana jamani😄🤣🤣
Mwenye swali namkaribisha leo, niulizie chochote, nataka kufunguka leo 🤣🤣🤣 bila codes kabisa, anyways vyovyote vile!!!
But usiniulize personal things, 🤣😀 I got time today............
Ntakujibu wewe deep kidogo UPATE PICHA KWANZA maana naona hii ishu Imeulizwa sana.Bora hata umekuja kutusualimia at least tunajua uko pamoja na sisi .uwe unakuja mara kwa mara kutusalimia ukipata time . Nikwel ulikuwa unatishwa na watu juuu ya hii story
Anything to say kwanini watekwaji wengi wanakutwa ununio na why always ununion :;
Mbona tukio la kumteka yule kiongoz wa upande wapili limefanyika mchana kweupe sana ninini walidhamiria au kuna ujumbe walikuwa wanatuma upande wapili Na kwanini police kila wakat wanasema nch iko Salama As if kama hawaoni watu wanavyotekwa mchana kweupe tunaweza sema are the one doing so
Na je ni kwer yule kiongoz aliye tekwa mchana kweupe Nakutupwa alikuwa threat sana kwa watawala nch kuna loophole nying alikuwa anazijua
Kuna post nimejibu hope utapata majib yako🙏1. Je madai ya mama wa taarabu na mipasho kwamba kampuni fulani kwa mjibu wa intelligence walikuwa na mpango fulani wanapanga kisirisiri dhidi yake yana ukweli kiasi gani?
2. Kulingana na hotuba yake leo akiwatetea polish na huku akiwalaumu kampuni nyingine, je ni sahihi tukisema Polish au Twish wanahusika kwenye kuteka watu,kuwatesa na kuwaua kwa hivi karibuni?
3. Km ndivyo je kama kuna uhaini umeonekana kwenye kampuni ya pili kwa nini wasikamatwe na kupelekwa kwenye vyombo vya kisheria kuliko kufanya utekaji na uuaji???
🙏🙏Kuna post nimejibu hope utapata majib yako🙏
Aiseee yoga, code ya KP au ni PK?Kuna post nimejibu hope utapata majib yako🙏
TwakusubiriI took a break, nikija trust me hutotaka kuondoka hapa😄😄😄
1.Kwa nini January na Nape walitumbuliwa?Mpo hapa?? Wa Zima nyie🥳🥳🥳🥳
Nimewamisss sana jamani😄🤣🤣
Mwenye swali namkaribisha leo, niulizie chochote, nataka kufunguka leo 🤣🤣🤣 bila codes kabisa, anyways vyovyote vile!!!
But usiniulize personal things, 🤣😀 I got time today............
Pitia post zake hapo juu yoga kajibu maswali yako yote haya vizuri sana1.Kwa nini January na Nape walitumbuliwa?
2.kwa nini huyo mwanachama wa chadema alitekwa hadharani na kuuwawa?