NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 10,001
- 21,296
iKiDuh afu inawezekana kabisa aisee...
Na inawezekana tukio la namba mbili lilikuwa limepangwa kabisa mwezi huu litokee
Me nahisi namba moja kashtuka pia na kuhisi na yeye anawindwa..ndo maana anacheza machale sana ..Mkuu pia ikitokea tukio la January lika mimick like tukio la juvenile habyarimana la 1994,mkuu patachimbika sana!
Why!!?coz Kuna nabii waArusha alitabiri Tembo kuingia mjini na kuharibu makazi ya watu ,akimaanisha tembo ni wale jamaa was mabaka kumbuka wanakituo Chao pale Kwa kina nywele nyeupe pale!!
Wale jamaa hawawezi Sala kama hakuna ishu kubwa ya maana wale!!
Nae Ndugu Boniface victor apigilia msumari was moto kwa kusema eti ametia muhuri kwa vifo vya wakubwa wawili,huku mwingine nae analeta hofu kwa kusema eti aliona Bendera nusu mlingoti!
Kumbuks bar Tumia akili akitilia mkazo kwamba JAL I is done 2 and 3 are next,Sasa hai JAL 2$3sio hai watakaotuletea nusu mlingoti was Bendera!!?he sio hao ambao victor Katia muhuri!!?
Aiseh ni kama Kuna Bom lipo linasikiliziwa litalipuka mda Gani na watu wapo attention kusikilizia!!!
iKi
Me nahisi namba moja kashtuka pia na kuhisi na yeye anawindwa..ndo maana anacheza machale sana ..
Dah umenikumbusha habyarinamana aka The invicible..Paul Kagame si ndo alimtungua..
Nahisi luna ishu inapikwa kali sana sema inasubiriwa wananchi kwanza wasahau mzigo ushushwe
Mkuu NAMBA MOJA AJAYE NCHINI ya kigogo wa kwenye Twitter a.k.a X au kigogo wa FB?Yoga kacheleweshwa na matukio aliyokua anatarajia yatatokea Hayajatokea!!uliona juzi alivopost Ile bendera na machozi wakati huo Kila mmoja alikua anauliza Bamba mbili alipo,akaonekana Sasa ataandika Nini Sasa !?wakati alichokua anasubiri kuandika Bado hakijatokea!!
Kigogo kishapost kuhusu January 2024 kutokea Kwa tukio Fulani labda muda huo ndio yoga atapost!!
Lakini former Branch manager ambae amekua aki make headlines kapoa Sana na haonekani Yuko wapi!!?
Au ile kampeni aliokua anamsafishia mama njia IME be blocked!!?
Mwenye info atupenyezee!!
FB,jana!anabashiri eti hitilafu ya ndege!!Mkuu NAMBA MOJA AJAYE NCHINI ya kigogo wa kwenye Twitter a.k.a X au kigogo wa FB?
Mkuu sasa hivi nasikia Kinachoendelea baada ya Operation ya kumuondoa kwenye uandishi wa kitabu kushindwa imepangwa operation mpya wanaiita "invalidation protocol"HUYo anajua kabisa coz aliambiwa huko gaberon room namba sijui 103,102 sikumbuki de levis aliandika!
Kifupi maagizo ya kitabu ameyakiuka na kwenye Uzi was "operation imesitishwa the state wamesema apewe muda"
Tumia akili anasisitiza kwenye swala la kitabu kipya mhusika aki delay zaidi ya mwakani (yaani 2022)kuanza mchakato wa uandishi wake,Basi mhusika eti itakua too late kwake isiwe beyond mwakani!!yaani beyond 2022!
Hadi sasa nadhani mhusika kacheza vizuri Hadi Kawa beyond mwaka Jana Kwa kiti kukalia !lakini operation IPO on!!?yaani original plan on and out!nadhani ni Ile ya kuingiza mhusika ambae hajawahi gombea kiti kama ilivyo tokea kule America!huyo Roosevelt wao!!
Ngoja tuone!!
Yule kaingia kwa mpango maalumu Katimiza wa kwanza bado anaendelea kutimiza kuhakikisha hakuna Timu ya visiwani inabaki...Yoga kacheleweshwa na matukio aliyokua anatarajia yatatokea Hayajatokea!!uliona juzi alivopost Ile bendera na machozi wakati huo Kila mmoja alikua anauliza Bamba mbili alipo,akaonekana Sasa ataandika Nini Sasa !?wakati alichokua anasubiri kuandika Bado hakijatokea!!
Kigogo kishapost kuhusu January 2024 kutokea Kwa tukio Fulani labda muda huo ndio yoga atapost!!
Lakini former Branch manager ambae amekua aki make headlines kapoa Sana na haonekani Yuko wapi!!?
Au ile kampeni aliokua anamsafishia mama njia IME be blocked!!?
Mwenye info atupenyezee!!
Branch manager yupo afrika kusini anauguza wife inasemekana akirudi shida ipo pale pale[emoji23]FB,jana!anabashiri eti hitilafu ya ndege!!
Branch manager yupo afrika kusini anauguza wife inasemekana akirudi shida ipo pale paleYoga kacheleweshwa na matukio aliyokua anatarajia yatatokea Hayajatokea!!uliona juzi alivopost Ile bendera na machozi wakati huo Kila mmoja alikua anauliza Bamba mbili alipo,akaonekana Sasa ataandika Nini Sasa !?wakati alichokua anasubiri kuandika Bado hakijatokea!!
Kigogo kishapost kuhusu January 2024 kutokea Kwa tukio Fulani labda muda huo ndio yoga atapost!!
Lakini former Branch manager ambae amekua aki make headlines kapoa Sana na haonekani Yuko wapi!!?
Au ile kampeni aliokua anamsafishia mama njia IME be blocked!!?
Mwenye info atupenyezee!!
MkuuKwenye huduma tunayosali tumepata haya mafunuo pia...na sio mara ya kwanza kusikia haya...watumishi mbalimbali wamekuwa wakitabiri sana
Tuungane pamoja kuombea taifa letu
NAMBA MOJA AJAYE NCHINI View attachment 2847912
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Maono waliyopewa ni hayo kuwa kuna tukio kubwa litatikisa nchi na vifo vya viongozi tukashirikishwa hivyo tuombe tuMkuu
Japo najiuliza na nyie mnaiona Dar es salaam ikiangamia na kutoweka kama sodoma na gomora kama aonavyo ndugu victor na kutoa vitabu!!?
Kuhusu vifo vya wawili hao nadhani victor kagonga mhuri pia kuangamia Kwa Dar,Kwa mujibu wake haviwezi ku be overturned na maombi kabisa yaani kuomba no kujichosha tu lazima yatokee!!
Sasa na. Nyie mnaiona Dar ikiangamia!!?najiuliza hatma ya BOT na hasara itakayokua kubwa kwa Taifa sijui kama serikali itakua na uwezo was kulipa mishahara coz hakuna kiongozi anaejali unabii was ndugu huyu Wala hakuna tahadhari yoyote!!!
Muitazame unyakuo tv YouTube mtapata mafunuo yote kwa huyu ndugu!!!
Muulizeni muonaji wenu anaiona Dar baada ya mwezi was tano mwakani!!?
Mimi Huwa sipuuzi maneno hata kama ni ya kichaa natilia mkazo sana!!
Mbuzi wa kafara alikata kamba akakimbia madhabahuDuh afu inawezekana kabisa aisee...
Na inawezekana tukio la namba mbili lilikuwa limepangwa kabisa mwezi huu litokee
Dah inafanyaje mkuu mwezi wa Tano mwakani ili kama kuna uwezekano niomdoke 😀😀Mkuu
Japo najiuliza na nyie mnaiona Dar es salaam ikiangamia na kutoweka kama sodoma na gomora kama aonavyo ndugu victor na kutoa vitabu!!?
Kuhusu vifo vya wawili hao nadhani victor kagonga mhuri pia kuangamia Kwa Dar,Kwa mujibu wake haviwezi ku be overturned na maombi kabisa yaani kuomba no kujichosha tu lazima yatokee!!
Sasa na. Nyie mnaiona Dar ikiangamia!!?najiuliza hatma ya BOT na hasara itakayokua kubwa kwa Taifa sijui kama serikali itakua na uwezo was kulipa mishahara coz hakuna kiongozi anaejali unabii was ndugu huyu Wala hakuna tahadhari yoyote!!!
Muitazame unyakuo tv YouTube mtapata mafunuo yote kwa huyu ndugu!!!
Muulizeni muonaji wenu anaiona Dar baada ya mwezi was tano mwakani!!?
Mimi Huwa sipuuzi maneno hata kama ni ya kichaa natilia mkazo sana!!
Wewe hujakipata kitabu Cha Boniface victor na kuangamia na kutoweka Kwa jiji la Dar!!?Dah inafanyaje mkuu mwezi wa Tano mwakani ili kama kuna uwezekano niomdoke 😀😀
Duh ila sidhani! Maana wangetangaza hiyo hali hata kwa njia ya Satelite ina maana bado iko undetectedWewe hujakipata kitabu Cha Boniface victor na kuangamia na kutoweka Kwa jiji la Dar!!?
Huyo jamaa yupo hapo temeke pile,hapo Dar ameshatangaza na unabii katoa ni kuanzia mwezi was nne hadi wa Tano mwakani 2024 kwamba jiji linaangamia na maji yameshaanza kuja Kwa kasi sana kutoka mwisho was dahari na yapo MITA mia tatu Hadi sasa!!
Ingia unyakuo tv, YouTube utaona video zake zote!!
Kuna dog langu lipo hapo nilishaliambia mwezi wapili na tatu arudi kwanza home aende was sita kusikilizia hiyo ishu!!!
Serikali haiwezi Tangaza jambo kama hilo!ni kama nyakati za nuhu na Lutu so maisha yaliendelea!!?Duh ila sidhani! Maana wangetangaza hiyo hali hata kwa njia ya Satelite ina maana bado iko undetected
Au kama ile movie ya Evan almightySerikali haiwezi Tangaza jambo kama hilo!ni kama nyakati za nuhu na Lutu so maisha yaliendelea!!?
Ngoja tuone!!
Yeye Nabii Victor amesha hama Dar?Wewe hujakipata kitabu Cha Boniface victor na kuangamia na kutoweka Kwa jiji la Dar!!?
Huyo jamaa yupo hapo temeke pile,hapo Dar ameshatangaza na unabii katoa ni kuanzia mwezi was nne hadi wa Tano mwakani 2024 kwamba jiji linaangamia na maji yameshaanza kuja Kwa kasi sana kutoka mwisho was dahari na yapo MITA mia tatu Hadi sasa!!
Ingia unyakuo tv, YouTube utaona video zake zote!!
Kuna dog langu lipo hapo nilishaliambia mwezi wapili na tatu arudi kwanza home aende was sita kusikilizia hiyo ishu!!!
Yaani serikali itangaze taharukiDuh ila sidhani! Maana wangetangaza hiyo hali hata kwa njia ya Satelite ina maana bado iko undetected