Hapa kuna tatizo kwasababu wakienda katika 'default' wanaolipa ni Watanganyika. Ndivyo ilivyotokea kwa Tanesco pia kwamba hawakutaka kulipa. JPM alisema walipe na akawapa nafauu ya kulipa. SSH kafuta deni loteKuna mikopo ya Zanzibar, Zanzibar wanakopa wenyewe kwa udhamini wa JMT, ni Zanzibar wenyewe watalipa mikopo hii, ila ikitokea mkopaji akashindwa kulipa, hapa ndipo mdhamini anamlipia.
Jamani hii 4.5% ni ya GDP tu, kwa mikopo ni zaidi. Kuna mkopo wa WB ulitolewa takribani bilioni 500, Zanzbar walipewa Bilioni 100. Hesababu hazisemi hivyo ni 4.5.Lakini ile mikopo ya JMT inayokopa na Zanzibar kupewa asilimia 4.5%, mikopo hii inalipiwa na mkopaji JMT only, kwasababu hiyo asilimia 4.5% anayoopewa Zanzibar, hapewi kama mkopo, anapewa kama her rightful portion na hawajibiki kulipa chochote.
P
Linapokuja suala la nguvu aliyopewa Rais wa JMT na katiba yetu, halafu Zanzibar ina Rais wake na inalinda maslahi yake, wakati Tanzania Bara haina Rais isipokuwa Raisi wa JMT ambaye anaweza kutokea Zanzibar na katiba inampa nguvu ya kufanya atakavyo na katiba haimuwajibishi. Inashangaza sana jinsi watu wanavyojifanya vipofu, pia kuna uwezekano upande wa Bara watu hawana uchungu na Nchi yao.Hapa kuna tatizo kwasababu wakienda katika 'default' wanaolipa ni Watanganyika. Ndivyo ilivyotokea kwa Tanesco pia kwamba hawakutaka kulipa. JPM alisema walipe na akawapa nafauu ya kulipa. SSH kafuta deni lote
Maana yake anayelipa ni Mtanganyika kwa ongezeko la bei Tanesco.
JK aliwaruhusu wakakope wenyewe na wala hakuna shida. Kitu gani kinawalazimisha watumie JMT kama mdhamini wakati walikataa jambo hilo?
Jamani hii 4.5% ni ya GDP tu, kwa mikopo ni zaidi. Kuna mkopo wa WB ulitolewa takribani bilioni 500, Zanzbar walipewa Bilioni 100. Hesababu hazisemi hivyo ni 4.5.
Hakuna formula ya wazi na kama ipo iwekwe hapa. Lakini pia watu wajiulize, ikiwa kuna Formula ya ajira, Formula ya misaada, Formula ya Mikopo! Iko wapi Formula ya kuchangia Muungano?
Swali la kuchangia ni muhimu kwasababu kama Zanzibar inapata sehemu yake, kwanini sehemu ya Tanganyika itumike kuhudumia Muungano?
Kuna hoja za msingi sana umesemaLinapokuja suala la nguvu aliyopewa Rais wa JMT na katiba yetu, halafu Zanzibar ina Rais wake na inalinda maslahi yake, wakati Tanzania Bara haina Rais isipokuwa Raisi wa JMT ambaye anaweza kutokea Zanzibar na katiba inampa nguvu ya kufanya atakavyo na katiba haimuwajibishi. Inashangaza sana jinsi watu wanavyojifanya vipofu, pia kuna uwezekano upande wa Bara watu hawana uchungu na Nchi yao.
Hasa ndani ya vikao cya chama!!Ila baada ya late ceo kuondoka kuna kamtego katamu sana kamenasa wengi. Kuna mdau alionya hasa kumtusi late ceo. Hako kamtego katasafisha wengi na ku inject new blood.
Deep informal alielewa his assignmen well! Alijua jinsi the big boss anapendwa kutukuzwa so he ensured that kumtukuza is done 100 %[emoji1]
So kulikuwa na meeting kati ya the new boss na the old old boss, hii meeting ilikuwa inahusu tender ya invester mmoja mgeni toka west africa kutumia moja ya plots za kampuni kuwekeza kwenye kampuni kama bond ya uwekezaji wake!
This man from west africa alikuja alone with his private jet na assistant wake mmoja tu kunegotiate the deal! Aliitaka hii plot since iko sehem mzuri na inapotential kwa biashara yake ya saruji [emoji23]
Hii plot ili wahi kuchukuliwa na CEO wa 2010 - 2015 kutoka kwa CEO wa 2000 - 2005 tena in bard terms! So the meeting ilikuwa kwanza kurudisha ownership ya plot hiyo kwa the old CEO wa 2000 - 2005 then yeye ndio asign deal na tajiri from west africa kitu kilicho mkera sana the CEO of 2010 to 2015! Maana plot hiyo aliifanya kama yake!
So wakati meeting preparation zinaendelea our deep informal kumbuka yeye ndio planner wa event yote pale headqutors! Alichofanya katika zile protocal za kupokea wageni moja ya askari aliwekwa ndani specific kuhakikisha when The old CEO atakapo fika headquators basi anatimiza wajib wake
Huyu askari alikuwa na kitu inaitwa polonium 210, hii kitu huwa inatiwa kidogo tu kwenye chai, water or juice na always humuondoa mtu in between 25 to 30 days since amepewa! The guy anderstood the asignment!
The old CEO loved coffee, nahapo ndio nyudo ilipo pigiwa! So wakiwa wanamsubiri tajiri from west africa, agent anatimiza kazi yake. Mkutano baadae unakwenda vizuri, makubaliano yanakamilika na kinachobaki nikutia siganture tu!
Sasa bwana......., the old CEO katoka vizuri headquators six days after the meeting akaanza kutokujiskia vizuri[emoji22] akampigia simu kijana wake kumwambia toka ametoka hapo makao makuu he was not fine!! Kijana akaamua kumpeleka hospitali for full check up.
The doctor alifanya checkup was one of the secret agent kwenye cycle ya CEO wa 2010 - 2015 dawa za hapa na pale kuchengesha muda tuuuuuu, stage two hiyoooo ikaingia things got sereous, after 16 days he was no more![emoji22]
One man down ......one man down........... I repeat one man down........... !!!!!
New boss could not suspect enything since tukio limechezwa kwake na anapaamini 100% so he trusted doctors reports kumbe something big was on the way!!
Kwenye target board one mtoa kibri kwa our new CEO has gone! few to come!! These guys bana walikua sereous na jambo lao [emoji23][emoji23][emoji23]
New boss kwakuwa aliyemtoka ni mentour wake, na alisha kuwa CEO wa kampuni kama yeye, so alitaka mazishi makubwa, mazuri na ya heshima kumuenzi boss wake wazamani! So he called the his planner, kumbuka planner ndio deep informal!
After the successfullnes of the first mission now comes the second mission!!
Ukiskia kuuna ndege wawili au zaidi kwa jiwe moja ndio hii sasa!
Deep infomal akachora ramani zoote za remained target watako fika mazishini nyumbani kwa the late CEO. Ramani ikatua kwa the KING MAKER, vijana waka kaaa na kusuka the whole plan!
Targets kweli wakaenda ispokuwa mmoja tu. kilicho wakuta huko hao wengine no one noticed, baada ya kurudi, mmoja baada ya mwingine nikurudisha jezi kwa kipa[emoji23][emoji23][emoji23]
Now the new boss felt something un usual was goin on!! But it was tooooooooo late![emoji2957][emoji22]
Kashtuka he is alone,
Unamjua aliye baki? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].......
Nakuja..... Nalala kwanza ........
mkuu unaishi Tanzania kwel au unamakazi nje ya nchi? maana unachokieleza ni as if kunamtu anakulisha, Kwa Nini nasema hivyo?Jibu ni kwamba Mtanganyika alikubali Utanzania. Fahamu kwamba Utanzania unahusu Uzanzibar pia, ndiyo maana Wazanzibar wakitaka kutumia fursa za Tanganyika wanajiita Watanzania. Tunaambiwa Waziri Mbarawa ambaye ni Mzanzibar anafanya kazi ya Uwaziri katika Wizara isiyo ya Muungano kwasababu ni Mtanzania.
Jina si tatizo, tunaweza kuita Tanganyika kama ilivyokuwa kabla ya 1964 au Tanzania Bara. Kitu cha Muhimu ni kwamba hiyo Tanganyika au Tanzania Bara inatakiwa iwe na serikali yake kama ilivyo Zanzibar ndani ya Muungano. J
Uwepo wa Serikali ya Tanganyika utasaidia mambo haya
1. Kuondoa dhana kwamba Tanganyika inaionyonya Zanzibar kwa koti la Muungano!!!
2. Kuipunguzia Tanganyika mzigo wa kujiendesha, kuendesha Muungano na Zanzibar kwa ujumla
3. Kuweka wazi Mchango wa Zanzibar haina katika Muungano
4. Kusaidia Tanganyika kutetea na kulinda masilahi yake kama ilivyo Zanzibar
5. Kuhakikisha Zanzibar inawajibika katika Muungano si kufaidika tu na Muungano
Ikiwa muundo wa sasa ni mzuri , malalamiko yanatoka wapi? Wazanzibar wasiobeba gharama zozote wanalalamika. Watanganyika wamechoshwa kubeba Mzigo wao na wa Zanzibar.
Hebu tueleze uzuri wa huu muundo ni upi?
Hakuna anayekuja kujifunza huu ujinga. Tutajie nchi moja tu iliyokuja kujifunza hapa na kama ipo pengine wanajifunza kwamba Muungano wa aina hii una watu wenye akili za kiwango gani!
Si kweli, Mkuu wa Majeshi si Amri Jeshi Mkuu. Kwa nchi moja kuwa na ''Amir Jeshi'' wawili bila kujua ni yupi mkubwa na kwa wakati gani, inashangaza.
January 12 utaona ''Amir Jeshi Mkuu wa Zanzibar'' akipokea heshima za Jeshi ambalo Amir Jeshi mkuu yupo nyuma yake. Kwamba nchi moja ina Amir jeshi mkuu wawili? au Amir jeshi na Naibu? ! sijui kwakweli .
Una maana Muungano maana yake ni matatizo? Mbona tunakuonyesha matundu hujibu!Kwa sabb unahisi muungano kuwepo migogoro itaisha wapi ulisikia? hyo ndoa au ushawahi kusikia ndoa ambayo Haina mgogoro?
Consinstency unayo mkuu, Kutetea Jambo moja kwa 13 yrs sio mchezo. Heko!!Tatizo la Muungano linasababishwa na mambo mengi ikiwemo 'taboo' yaani mwiko kuuongelea
Muungano hautetewi kwa hoja bali vihoja na viroja. Ni wa pekee, ni tunu, ni muhali n.k.
Watanganyika wakapigwa marufuku kuuongelea kama tulivyoona sakata la Mbowe lililoleta kelele zisizo na kichwa wala miguu. Wazanzibar kama kawaida wakapewa 'free ride' ya kutukana kama tunavyowasikia akina Masoud Othman, Jussa, Duni n.k.
Tunapoonyesha matundu ya Muungano wenye akili timamu watajifunza, wenye uelewe katika umbali wa pua hawatatuelewa. Bila kuuongelea Muungano na yaliyojificha chini ya kapeti ipo siku Muungano utakuwa 'glass' na ikianguka ni kuvunjika papo hapo.
Kituko cha Muungano cha leo.
Wazanzibar wanasema mambo ya Muungano yabaki 11 ya mkataba wa awali.
Ndani ya Bunge kuna Wabunge 393 akiwemo AG. Ukimuondoa AG wanabaki 392 na ukiondoa 80 wa Zanzibar wanabaki 312 wa Tanganyika.
Ikiwa Bajeti ya Kilimo, Mifugo , Afya au Elimu itapigiwa kura na kufungana 156/156 kati ya Watanganyika wa YES na NO, watakaoamua bajeti hizo ni Wazanzibar 80, wale wale wasiotaka mambo ya Muungano yaongezwe.
Wabunge wa Zanzibar wapo kamati za BUNGE za mambo yanayohusu Tanganyika.
Katika kamati hizo Wazanzibar hao wana maamuzi yanayogusa masilahi ya Watanganyika.
Wakirudi Zanzibar wanadai hawataki mambo ya Muungano yaongezwe , mambo yale yale waliyokuwa wanayasimamia katika kamati huko Nkasi, Nyamagana, Kadewele, Isevya na Handeni kusiko wahusu.
Niuruhusu nipitie hoja zako kwa mandiko tofautiConsinstency unayo mkuu, Kutetea Jambo moja kwa 13 yrs sio mchezo. Heko!!
Lengo la TRA NI kukusanya fedha zote za nchi (JMT) halafu kufanya 'remittance' kule Zanzibar kwa kuwa ina 'status' Pili, kurahisha biashara kwamba mzigo ukilipiwa Zanzibar unaingia bara kwa maana ya ku 'harmonise' shughuli na kuondoa viwango tofauti kati ya Bara na Zanzibar.Kwa kuwa umekuwepo kwenye mjadala huu wa Muungano mda mrefu naomba nisaidie haya machache.
1.Why TRA wapo zenji ikiwa mapato hayavuki kuja huku?