AggerFirminho
JF-Expert Member
- Sep 17, 2019
- 2,319
- 4,146
Kumbuka mto mmoja imepita kwenye nchi ya Ethiopia aka kush. Haiwezekani eti Ikakutane na mto uko Iraq huko... Plus ukisoma jubilee kitabu walichokitoa kwenye Bible Ile Kipo kwneye Bible ya Ethiopia ambacho ni oldest inasema source ya huo mtu unaokatika Ethiopia ndio ilipo Eden..... Wazungu wanabadili maeneno na kuyapa majina Yao wapendavyo wao kuondoa maana ya asili ilipo kama walivyotuambia majina yetu yamelaaniwa so tubebe ya Kwao. Kama ambayo wamebadili Sasa mwanzo 13:1.mipaka ya Edeni ukisoma ni Iran/Iraq (somewhere eneo hilo), kwa sababu ile mito minne iko huko!
kumbuka baadhi ya mito ilifukiwa na gharika, so probability kubwa ni huko maana afrika hakuna eneo lenye uwezekano wa kuwa na mito 4 yenye chanzo kutoka eneo moja!
Edeni ni Tanzania. Chanzo cha Mto kush ni ziwa Victoria. Kumbuka Dunia ilikua bara moja kwa wasomi wa jiografia wanajua kitu kinaitwa Pangea, ilianzia Afrika Mashariki ikiwapo Tanzania kwenda Misri mpaka maeneo ya India huko. Ila mengi tumebadilishiwa lkn kumsaidia mwambie akasome kumbukumbu la torati 28 Kisha aseme zile laana ziko ktk bara gani? Tumebadishiwa na kisha tukasemwa kwamba mpaka tukijitambua, asante kwa Urusi angalau wanaanza kutufanya tujitambue kwa nguvu kwa sasa[emoji28]Kumbuka mto mmoja imepita kwenye nchi ya Ethiopia aka kush. Haiwezekani eti Ikakutane na mto uko Iraq huko... Plus ukisoma jubilee kitabu walichokitoa kwenye Bible Ile Kipo kwneye Bible ya Ethiopia ambacho ni oldest inasema source ya huo mtu unaokatika Ethiopia ndio ilipo Eden..... Wazungu wanabadili maeneno na kuyapa majina Yao wapendavyo wao kuondoa maana ya asili ilipo kama walivyotuambia majina yetu yamelaaniwa so tubebe ya Kwao. Kama ambayo wamebadili Sasa mwanzo 13:1.
Mchezo huu hakuna wakuupangua kwakua ni MUNGU mwenyewe ndiye mhusika tangu 2012....hairudi hiyo imesha...Glory to the highest!Sasa ni wakati wa Mungu kuchagua kiongozi na sio mwanadamu...
Shida walishakaririshwa since watoto na hawapendi kusoma na kufanya research. Angeanza tu na mwanzo 13:1 kabla hata hajafika kwenye kumb 28 ambalo linaeleza kwa kirefu why Hilo Bara liko vurugu tupu.Edeni ni Tanzania. Chanzo cha Mto kush ni ziwa Victoria. Kumbuka Dunia ilikua bara moja kwa wasomi wa jiografia wanajua kitu kinaitwa Pangea, ilianzia Afrika Mashariki ikiwapo Tanzania kwenda Misri mpaka maeneo ya India huko. Ila mengi tumebadilishiwa lkn kumsaidia mwambie akasome kumbukumbu la torati 28 Kisha aseme zile laana ziko ktk bara gani? Tumebadishiwa na kisha tukasemwa kwamba mpaka tukijitambua, asante kwa Urusi angalau wanaanza kutufanya tujitambue kwa nguvu kwa sasa[emoji28]
Sent from my iPlay_20P using JamiiForums mobile app
sasa mbona unasema habari za miti minne ambayo ipo kwenye biblia afu wakati huo huo unakataa uwepo wa gharika....hauamini kuwa gharika ipo bila shaka uwezi kuamini uwepo wa MUNGU ukikataa uwepo wa gharika ww ni mpagani....au atheist.Bibilia haijasema kama chanzo cha moto minne kilikua kimoja, duniani nchi pekee ambayo imezumgukwa na moto minne ni Tanzania peke yake. Mto Ruvuma, Mto Pangani/Wami, Mto Rufiji na Mto Kagera na Malagarasi.
Usije na nadhalia ya kwamba mito ilipotoe kutokana na gharika la Nuhu, wakati ghalika ni kitu cha kufikirika tu, ukisema kipo nambie wanyama walikula nini kwa siku zote walizoa ndani ya safina?
Sent from my iPlay_20P using JamiiForums mobile app
yoga okoa jahazi!
Hakuna uthibitisho Wala ushahidi wa uyasemayo. Umesoma tu kwenye masimulizi ya bible ambayo nayo kaandika mtu kama wewe tusasa mbona unasema habari za miti minne ambayo ipo kwenye biblia afu wakati huo huo unakataa uwepo wa gharika....hauamini kuwa gharika ipo bila shaka uwezi kuamini uwepo wa MUNGU ukikataa uwepo wa gharika ww ni mpagani....au atheist.
Source tafadhali, ndipo nichangie HOJA.rabon kulikoni jumba jeupe mbona mkuu wa vipepeo weusi kateuliwa mpya na kuapishwa leoleo. Maana ni kama aliyetolewa hana muda mrefu sana tangu ateuliwe.
Kinabii imekaaje hii
Source ni humuhumu jf kuna barua ya uteuzi ya zuhura yunusSource tafadhali, ndipo
Source tafadhali, ndipo nichangie HOJA.
Hiyo hapoSource tafadhali, ndipo nichangie HOJA.
Paka yupi yupo kazini?PAKA yupo kazini