miss pablo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2018
- 5,409
- 11,083
Acha ujuaji we pimbiWhat the hell? Kwani nchi nzima alichanja mmoja tu? Huko ulaya wamechanja tokea 2020 huu ni mwaka wa tatu je wangapi wameshakufa?
Wewe unafikiri huo mgomo kkoo umekuuja tu?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wakisha maliza kulana watasema!
Ninachoomba Mungu tuliyo jadiliana jana mnazi mmoja yatimie tu, tupate ahueni maana, ngoma ilishakua ngumu sana
so why una mponda the late CEO .....Wewe unafikiri huo mgomo kkoo umekuuja tu?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nilicheka sana nilipoona Martin Mbwana. Sema Mbwana pia ni jina la baba yake. Kule kibosho baba yao alikua anaitwa Bwana ila wakakosea na kuita mbwana.
Nikuambie tu, haikua by accident. Everything is connected.
Heeh, i am over talking. Nisije binywa manyonyo. Leo nimekua free sana. Byeeeee
Mimi nilijiuliza why a week of dodo was the week of kariakoo!!?nikaandika somewhere wanna destabilize NINI!!?sikupata majibu ya kueleweka kabisa!Wewe unafikiri huo mgomo kkoo umekuuja tu?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nilicheka sana nilipoona Martin Mbwana. Sema Mbwana pia ni jina la baba yake. Kule kibosho baba yao alikua anaitwa Bwana ila wakakosea na kuita mbwana.
Nikuambie tu, haikua by accident. Everything is connected.
Heeh, i am over talking. Nisije binywa manyonyo. Leo nimekua free sana. Byeeeee
Na wala si sababu ya dodo.Mimi nilijiuliza why a week of dodo was the week of kariakoo!!?nikaandika somewhere wanna destabilize NINI!!?sikupata majibu ya kueleweka kabisa!
Let us wait!!
Nani amemponda? We are talking kilichopo..so why una mponda the late CEO .....
Ku destabilize current CEO regime or!!?and makala had something to do with it!!? that's why kapelekwa victoria akale sato!!?Na wala si sababu ya dodo.
Kuna wamama wanagundishwa jinsi ya kufanya kaziKu destabilize current CEO regime or!!?and makala had something to do with it!!? that's why kapelekwa victoria akale sato!!?
Duh kazi ipo nilijua tu ule mgono Kuna kitu behind the scene ingawa bado sinaujua vizuri.Wewe unafikiri huo mgomo kkoo umekuuja tu?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nilicheka sana nilipoona Martin Mbwana. Sema Mbwana pia ni jina la baba yake. Kule kibosho baba yao alikua anaitwa Bwana ila wakakosea na kuita mbwana.
Nikuambie tu, haikua by accident. Everything is connected.
Heeh, i am over talking. Nisije binywa manyonyo. Leo nimekua free sana. Byeeeee
[emoji847] hivyo yatafanyiwa kazi kwa asilimia kubwaWewe unafikiri huo mgomo kkoo umekuuja tu?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nilicheka sana nilipoona Martin Mbwana. Sema Mbwana pia ni jina la baba yake. Kule kibosho baba yao alikua anaitwa Bwana ila wakakosea na kuita mbwana.
Nikuambie tu, haikua by accident. Everything is connected.
Heeh, i am over talking. Nisije binywa manyonyo. Leo nimekua free sana. Byeeeee
[emoji848] ongezea ongezea mkuu!Mimi nilijiuliza why a week of dodo was the week of kariakoo!!?nikaandika somewhere wanna destabilize NINI!!?sikupata majibu ya kueleweka kabisa!
Let us wait!!
[emoji28][emoji28]Story isipoendelea basi mcheza kareti alikua shambani kuandaa material ya juice pendwa ya azimuth [emoji23][emoji23][emoji23]
Kula chuma hicho...
Wanasema Dodo ni mwanzo Tu wale Wote waliofurahia kifo cha the late CEO wataendelea kuumia Kwa laana ya kumcheka kifo cha mtu.Lakini kwanini huyu paka they keep letting him apafanye hapa kama shamba la bibi? Why? Kwann?
Dodo angetoboa mungeiona shoo yake.
Sasa game limeanza rasmi. Huyu mseminari mtalipia haswaa...
I must be honest, nimekua na mapenzi sana na nchi yangu, nilikua nikimchukia sana bt. Sikuelewa vyema mfumo ulivyokua ukienda.
Ila nimejifunza. Katika zama za uongozi wa bt tumekula sana maisha. Tumekula mnoo. Nani abishe? Mulioingia leba hamkua mukibeba chochote. Everything for free.
Maisha yalikua matamu na free mtaani. Watu wanasema sijui zama za jiwe kulikua hakuna cha unanijua mm? It was a toral lie. Zama za jiwe hatukua na amani kbs. Matishio yalikua mengi sana. Mtu uko kwenye daladala unachangia mada za siasa watu wanashuka na wewe. Watu kwenye viroba etc. Why? Zama za bt hayakuwepo haya mambo. Jiwe alikua anawatumia wajinga na maskini kuwafanya waone kama wanasaidiwa. Yaan kama vile siyo kodi zao vile. Machukia sana hili jambo. Ndo maana wanazidi haribu mfumo wa elimu kuzalisha vilaza daily. Sasha naye anafanya anachojisikia tu. Why why why sasha? Dodo was the perfect guy. Cant wait for the comeback
Watanzania gani jisemee wewe Mungu kaamua ugomviYaani achana na zen kuna ile ya mhimili ambayo kwa hakika angepona kabisa. Watanzania bado tunamlilia dodo.