I think sisi ka binadamu tunajua vitu vichache sana tofauti na uhalisia na vingine tulifungwa na Mila na tamaduni, but I believe Kuna nguvu inayotuendesha either physical pia invisible sisi tupo tu na hata hizo tulizoaminishwa za kishetani zinaweza kuwa nguvu halisi zenyewe sasaHata mimi hua nadhani hivi.
Kuna nguvu kubwa nje ya nguvu tuzijuazo aise.
Its either Godly or Ungodly power. Huwa najiuliza kwa nini hizi ungodly power zina nguvu kubwa sana na za haraka kimatokeo compare to Godly power.
Unaambiwa unahitaji imani kubwa sana kupata matokeo chanya kwa kutumia Godly power, compare na ungodly power.
Au ndio tuwaheshimu wahenga “kizuri chajiuza kibaya chejitembeza”
Amefanyaje?
@mtu chake tuitie mwangalizi wa chumba no. Gaborone City hahahaNchi hii nadhani Kuna nguvu nyingine inayoongoza nchi ambayo hyo nguvu hata Rais mwenyewe haijui ilivo. Majority ya mambo yanakuwa scripted kabisa hamna jambo linalotokea accidentally inakuwa ni calculated move kabisa.
[emoji125][emoji125]@mtu chake tuitie mwangalizi wa chumba no. Gaborone City hahaha
Kumbe niliishia hapa ngoja niendelee sijui ntamalizia lini !Nimeishia komenti ya 308! Nitaendelea badae
Asante dear, hii sikuanza kama imefika mbali ndiyo nzuri.Lol huu uzi umefika mbalii kinoumaaa sijui hata niliishiaga wapi!!
Tayukwa Bantu Lady Lovelovie hivi mliishia wapi huku???
Kumbe iko hivyo. Vipi deep state inaundwa na wazawa wote au wapo ndani yake na wa nje?Deep state au inner circle ndio system au mfumo wenye watu ambao wako behind the scene, wanaendesha nchi kutokea chimbo kabisa na Wana control na manipulation ya mwenendo wote wa mustakabali wa taifa, ni vigumu sana kuwajua hata Viongoz wakubwa wengine hawanaga ufahamu na Hawa inner circle au deep state
Ni mzuri hakuna mfano!!Asante dear, hii sikuanza kama imefika mbali ndiyo nzuri.
I think sisi ka binadamu tunajua vitu vichache sana tofauti na uhalisia na vingine tulifungwa na Mila na tamaduni, but I believe Kuna nguvu inayotuendesha either physical pia invisible sisi tupo tu na hata hizo tulizoaminishwa za kishetani zinaweza kuwa nguvu halisi zenyewe sasa
Ni mzuri hakuna mfano!!
Yani ukiuanza kuusoma hutojuta dear!! Ukiwa unasoma moyoni unajisemea nhiiiiiii bora kuwa mwananchi wa hali ya chini sana tu kuliko kujihusisha na mambo ya siasa/ uongozi[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]!
Kwakweli🙌🙌🙌🙌🙌![emoji28][emoji28][emoji28] hutaki keki ya kampuni?
Jamani pesi meka mkajisomee details zake kuna mtu aliwahi kuandika humu kuwa hivyo vifaa sio vya milele kuna ambavyo utatakiwa kubadilisha kila baada ya miaka mitano kumi au 15. Sasa unadhani cha raisi John kiliwekwa lini? Muda wake ulikuwa haujaisha? Na vile wabongo tunadharau ishu za afya mpaka tatizo liwe kubwaMajibu yako Yana make sense
Tuje hapa.
Ilikuaje pacemaker ya rais ikapata tatizo?
Je,ilidukuliwa????
Kumbuka rais n mtu mkubwa na afya yake NI Jambo la 1.
Uoni kwamba pengine ilianza hujuma katika pacemaker yake?
Kumbukumbu zangu zimenisaliti ccy.Lol huu uzi umefika mbalii kinoumaaa sijui hata niliishiaga wapi!!
Tayukwa Bantu Lady Lovelovie hivi mliishia wapi huku???
Na vingi tulivofichwa au kukatazwa vitakuwa na mambo makubwa behind it.Umewaza vizuri sana. Kuna vitu vipo vimefichwa fichwa hasa hasa kwenye dini huko ndipo kuna power ambazo wajanja baada ya kuzijua hawataki tuzijue.
Ukilala ndio umeamka na ukiamka ndio umelala.
"Allah - hapana muabudiwa isipokuwa yeye aliye hai, msimamizi wa mambo yote milele, hashikwi na usingizi wala kulala, ni vyake yeye tu vyote vilivyomo mbinguni na ardhini, ni nani huyo awezaye kuombea mbele yake bila ya idhini yake? anayajua yaliyo mbele yao na yaliyo nyuma yao, wala wao hawazunguki chochote katika elimu yake, ila kwa atakalo yeye mwenyewe, kursiyy yake imeenea mbinguni na ardhini na wala havimshindi yeye na kuvilinda hivyo, na yeye ndiye aliye juu aliye mkuu."Umewaza vizuri sana. Kuna vitu vipo vimefichwa fichwa hasa hasa kwenye dini huko ndipo kuna power ambazo wajanja baada ya kuzijua hawataki tuzijue.
Ukilala ndio umeamka na ukiamka ndio umelala.
Deep State ni neno linalotumika kuelezea kundi la watu wenye nguvu na ushawishi ambao wanashikilia mamlaka kubwa nchini kwa njia ya siri na wanadhaniwa kuzuia au kudhibiti uamuzi wa kisiasa na serikali. Mara nyingi kundi hili linahusishwa na wanasiasa wenye ushawishi, wafanyabiashara tajiri, makundi ya ujasusi na majeshi. Ni nadra sana kundi hili kutambuliwa hadharani, na hufanya kazi kwa siri ili kuhakikisha madaraka yao yanadumu na wanaweza kufikia malengo yao bila kujulikana.Kumbe iko hivyo. Vipi deep state inaundwa na wazawa wote au wapo ndani yake na wa nje?
Vipi hii deep state inaundwa na watu wagapi?
Sifa za kuwa member wa deep state ni zipi?
Vipi Born to town ana cheo gani huko deep state?
Asante sana mkuu Mack Oyier Go OsoroDeep State ni neno linalotumika kuelezea kundi la watu wenye nguvu na ushawishi ambao wanashikilia mamlaka kubwa nchini kwa njia ya siri na wanadhaniwa kuzuia au kudhibiti uamuzi wa kisiasa na serikali. Mara nyingi kundi hili linahusishwa na wanasiasa wenye ushawishi, wafanyabiashara tajiri, makundi ya ujasusi na majeshi. Ni nadra sana kundi hili kutambuliwa hadharani, na hufanya kazi kwa siri ili kuhakikisha madaraka yao yanadumu na wanaweza kufikia malengo yao bila kujulikana.
AU
Deep state ni kundi la watu wenye ushawishi mkubwa nyuma ya pazia linalolenga kudhibiti siasa, biashara na taasisi za kiserikali katika nchi fulani. Majukumu yake yanajumuisha kubuni na kutekeleza sera za siri, kupiga vita wapinzani, kudhibiti vyombo vya habari na kuhakikisha kuwa sauti za raia hazikutwi.
Kwa ujumla, muundo wa deep state huwa ni wa siri na una watendaji waliojificha katika ngazi mbalimbali za serikali na taasisi za umma. Wajibu wake ni kuhakikisha kuwa maslahi ya kundi la watu wenye ushawishi mkubwa yanatimizwa pasipo muingilio wa wananchi au serikali.
Mipaka ya deep state huwa haina ukomo na inaweza kuficha shughuli zake katika mienendo ya kila siku ya nchi. Hii inamaanisha kuwa inaweza kuathiri maamuzi yanayofanywa na viongozi wa kitaifa au misimamo ya vyombo vya habari na mashirika mengine yanayohusiana na utawala.