zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 24,227
- 39,775
Nani kaleta povu? Huyo anaye quote ndio kasema JPM kauwawa Sasa kosa langu ni kumuelewesha ama?Nyie ndiyo mnaharibu thread ....mleta mada alisema ni Simulizi sasa povu la nini...
Ni kweli lakini tunaweka pembeni fake news kwa kujaribu kureason kwa facts.Na unapaswa kujua kila mtu humu anafikiri kwa namna yake mwenyewe...
Hakuna aliyewapangia kufikiri ila fake news haziwezi kunyamaziwa kisa tu "uhuru wa kufikiri". Sasa kweli mtu mzima unaambiwa eti sumu imewekwa kwenye bahasha na wewe unaamini? 😹😹😹.Usitake kuwapangia watu namna ya kufukiri...na usilazimishe watu kukubaliana na Fikra zako....
Hahaha hujabadilisha Id mpaka leo?mimi ya tatu hii 😄Unaifaham vip😅
Nibadilishe ya nn sasaHahaha hujabadilisha Id mpaka leo?mimi ya tatu hii 😄
Hapana.Nibadilishe ya nn sasa
Itakuwa kuna matukio unafanya humu inapelekea unabadili hovyo
Ili iwe je sasa kama ilishindikana mwanzo huko kivingine unauhakika ungewezaHapana.
Nilitaka nikutafute kivingine 😆
😳Ili iwe je sasa kama ilishindikana mwanzo huko kivingine unauhakika ungeweza
Yaliyozungumzwa kwenye thread hii na yoga kama kuna chembe ya ukweli basi. Kuna mtu atalia muda si mrefu.View attachment 2601463
[mention]yoga [/mention]
Ukuje tuendeleee na story yetu mambo yashakuwa ni mengi saiv
Low iq and too much know, definitely the product of kigomaAliuwawa na nani mkuu? Si uende ukamuulize hata dokta wake anaitwa Kisenge pale JKCI mbona ana majibu yote. Tuache speculation kama angeuwawa trust me loose ends nyingi zingeshakua tied kuanzia kina Samike mpaka hao doctors wa Mzena na JKCI maana wangekua na ukweli wote.
Ujuaji umetoka wapi wakati naeleza ambacho serikali ilieleza. Nyie mnaopinga original story ndio WAJUAJI maana mnakuja na nadharia bila ushahidi au reasoning ya kueleweka.Low iq and too much know, definitely the product of kigoma
Hao hao unaowaita walinzi ndio hao hao hufanikisha mission kwa manufaa ya umma!!Why would they use polonium wakati mgonjwa wa moyo anaweza kufa kwa "mshtuko" tu!!. Sumu anawekewa mtu ambaye huwezi mu access kiurahisi sio mtu ambaye unamuona Kila siku!! Hupaswi kuacha trace yoyote ukimaliza kazi ndio maana nakataa asingeweza kuuwawa kwa sumu kizembe hivyo.
Watu humu mna underrate sana ulinzi wanaojiwekea viongozi wa Afrika.
Huyu anajifanyaga mjuaji sana na chuki zake za kijinga.Low iq and too much know, definitely the product of kigoma
kigoma one hiyo mtabishana hapa mpaka kesho ...........Low iq and too much know, definitely the product of kigoma
Umenitambua?💃💃💃💃💃
Hao hao unaowaita walinzi ndio hao hao hufanikisha mission kwa manufaa ya umma!!
HIVYO TU!!
Hii ni story tu!!
Code za hatari sana Mkuu! [emoji3]Ohoooo
Bora turudi kwa Jasusi KGB. Kule ni bandika bandua [emoji23]Yoga umepotelea wapi ukirudi bandika bandua
Kabisa, kuna watu wanaandika na kujaza server ujinga tu.kigoma one hiyo mtabishana hapa mpaka kesho ...........
YOGA njoo huku na brand ishu watu tuanze kuvunja CODE ................jukwaa lishakuwa sio tena hili.....