Mbona JPM alipelekwa JKCI kabla ya Mzena kamuulize dokta yoyote pale JKCI sababu ya JPM kufariki ni Nini, mbona inafahamika randomly tu kuwa alikua na shida ya moyo na alikua na pacemaker. Sasa why mtu wa hivyo ionekane kauwawa wakati wote mnafahamu alikua na matatizo ya afya? Kampeni tu alishindwa kufanya tukawa tunasema Rais hayupo fiti hamkuona ajabu ila miezi 7 baadae ndio kauwawa?? Hampo serious.
Kingine sio serikali tu media za Kenya zilishaanza kuhoji afya ya JPM kipindi ambacho huku Tanzania hata serikali ilikua kimya. Media zilisema ka paralyse upande mmoja n.k hakuna rumour yoyote iloyosema kapigwa sumu au kauwawa zote zilionyesha ni tatizo la moyo. Kumbuka muda huo Tanzania wafuasi wa JPM mlikua busy kutukana wapinzani kwa kuhoji afya ya JPM. Cha kuchekesha amekufa ndio mmekua wakali kuhusu kifo chake??
Huwezi kumuua Rais kirahisi hivyo, especially kwa JPM aliyekua anajihami kiasi kile.
Mbona JPM alipelekwa JKCI kabla ya Mzena kamuulize dokta yoyote pale JKCI sababu ya JPM kufariki ni Nini, mbona inafahamika randomly tu kuwa alikua na shida ya moyo na alikua na pacemaker. Sasa why mtu wa hivyo ionekane kauwawa wakati wote mnafahamu alikua na matatizo ya afya? Kampeni tu alishindwa kufanya tukawa tunasema Rais hayupo fiti hamkuona ajabu ila miezi 7 baadae ndio kauwawa?? Hampo serious.
Kingine sio serikali tu media za Kenya zilishaanza kuhoji afya ya JPM kipindi ambacho huku Tanzania hata serikali ilikua kimya. Media zilisema ka paralyse upande mmoja n.k hakuna rumour yoyote iloyosema kapigwa sumu au kauwawa zote zilionyesha ni tatizo la moyo. Kumbuka muda huo Tanzania wafuasi wa JPM mlikua busy kutukana wapinzani kwa kuhoji afya ya JPM. Cha kuchekesha amekufa ndio mmekua wakali kuhusu kifo chake??
Huwezi kumuua Rais kirahisi hivyo, especially kwa JPM aliyekua anajihami kiasi kile.
Kwanza hakuna mahali nimemtaja Kikwete mkuu, muache mwamba ale mafao yake.
Pili, sipendi kuingia deep kuhusu suala la gesi ila ninachojua ni kuwa liliwahi kunisikitisha sana... hivyo tuliache kama lilivyo.
Kuhusu Facebook kama ilivyo JF watoa maudhui ni walewale.
Hivyo sio kila kilichopo FB ni cha uongo na sio kilichopo JF ni cha ukweli , ni wajibu wa mtumiaji kuchuja kila taarifa anayolishwa.
Hivyo sioni sababu ya kuikasirikia Facebook.
Wewe umesema kikulacho ki nguoni mwako.... Ila watu wanadai ni Old CEO plus wapinzani na mabeberu. Hivi kweli ukiwa nje ya system unaweza muua Rais? Hizo nchi ulizotaja wengi wa Marais waliuwawa kwa inside job ila huwezi mtu kama Mbowe au JK akumaliza wakati hata hajui presidential protocol iliyopo zamu.Hawezi kuuwawa, kwa mtu kama JPM aliyekuwa anajihami kiasi kile. Kujihami sio kushinda ufedhuli wa wanadamu. Kikulacho ki nguoni mwako, hapo hapo unapojihami ndipo unachapika
Kumradhi mkuuMliokuwa wafuasi wa JPM. Niondoe humu kabsaaa sina ufuasi wa aina yoyote na siasa na wanasiasa wa Tz, ila naumizwa na uonevu wa aina yoyote ile.
Sahihi!NAMBA MOJA AJAYE NCHINI account ya tumia akili ni ya BT niaminivyo mimi,
Hivyo post ile alikuwa ana mkusudia Philip Magula.
Mkuu kama hujazima kidude cha data basi utakuwa umeishiwa bado, nchi yetu pamoja na vyanzo vyake umeme ambao ni affordable ni wa maji, na hyo unayosema 60% ni gesi but ipo kwenye karatasi tu na ukiiweka kwenye uhalisia itageuka kuwa ya ghali zaidi,Mkuu wewe ni mtu makini kabla ya kuamini kitu basi utafute taarifa kamili.
1. Umeme wa nchi hii kwa zaidi ya 60% unazalishwa kwa gesi, hayo Maji ni 30%+ pekee.
2. Ukihujumu gesi Ina maana Tanzania nzima itaenda gizani.
3. Sasa kama ni kuuza majenereta why wahujumu 30% ila wasihujumu 60+%?
4. Kingine umedai umeme ukikatika watauza jenereta? Sasa twende taratibu.
5. Kwa siku mahitaji ya umeme wa viwanda ni makubwa na tukubali tu wenye mamlaka ndio wanamiliki viwanda vikubwa. Sasa hasara ya umeme kukatika kwa kiwanda ni kubwa sana je utaifidia kwa kuuza majenereta mangapi?
Ningeona mnamaanisha kama mngesema wanahujumu Maji Ili wapewe Hela ya maintenance au wauze umeme wa dharura ila kitendo Cha kusema majenereta ni kituko Cha Karne. Ni sawa na mtu atengeneze corona Ili auze sanitizer na Barakoa za buku buku!! Ndio Nini Sasa?
Kinachofurahisha zaidi ni yale aliyoyasema yanakwamisha alipo yaondoa ndiyo hayo yakawezekana, sasa yanarudiahwa ndiyo matokeo yanakuwa kama alivyotuambia, cha kujiuliza nani mwongo kati yake na hawa ambao wanafanya yale aliyoyakataa kishawanashindwa kutupa yale aliyotupa sisi wakati huo?Mkuu kama hujazima kidude cha data basi utakuwa umeishiwa bado, nchi yetu pamoja na vyanzo vyake umeme ambao ni affordable ni wa maji, na hyo unayosema 60% ni gesi but ipo kwenye karatasi tu na ukiiweka kwenye uhalisia itageuka kuwa ya ghali zaidi,
Tuwe wa kweli linapokuja swala la maisha ya watu, nchi hii kuna mtu alitufundisha kuwa inawezekana ila kunawatu wanachepusha ukweli kwa kutuambia kuwa haiwezekani,
Kwa nn in 6yrs hatukuwa na hizi ngonjera? Au zimetoka wapi ghafula? The man alikuwa na mapungufu yake bt likija swala la how to take action , the man was fit, ukweli ubaki mengine yanaweza kuendelea
Hakuna muwa mtamu usiokuwa na pingili
Mkuu sijui kama mr culture alivyokuwa anamzungumzia old ceo, alisema mwenyewe kwamba old ceo alikuwa na uthubutu wa kufanya maamzi kwenye kampuni, na hapo ndipo ukweli ulipo...Ila OLD CEO mambo yake aliyoasisi pale nishati na madili yanaendelea kulindwa hebu piga hesabu umeshauza gesi kwa kampuni ambayo wewe umejikabidhi kama mteja mkuu.Anakuja mtu anakuambia nahamisha nawekeza kwenye umeme wa maji ni ni nafuu,huku wewe ulisha plan gesi ifike bagamoyo pasipo na chochote.ila ahadi ya bandari.
Halafu pale IPTL palipozimwa na maisha yakaendelea wanalipwa Bil Kadhaa za madai yao.
Kaingia mtu mwengine anadai tubadilishe nyaya kwa tril kadhaa kana kwamba nchi ndio inaanza kujengwa.
He was murdered. Hakuna Siri tena. Ushahidi wa Mazingira unaonyesha. Kuna wanafamilia walitaka kukanusha kwamba mzee hakuwa na Tatizo la Moyo washauri wakapiga stop kwa Usalama wao. Magu alikuwa na Afya imara Sana hata wewe unajuaSio kweli, Mzee wangu na board members wenzie waliponea ICU kipindi hiko hiko wanachokufa viongozi wa serikali. Sasa JPM alikua na shida ya moyo miaka mingi so kupata COVID 19 ilikua ndio last blow.
Kumuua Rais sio kitu kirahisi kama unavyodhani. Hata mnapopanga mauaji Kuna mmoja ni mtu wa mfumo atavujisha tu. So tusiwe wepesi kuamini rumors.
Si kweli, alikuwa mgonjwa. Hata kwenye kampeni si uliona vile vifaa vya kumsaidia kuhutubia kwa muda mrefu? Pia siyo mara moja taarifa zilisikika kuwa hawezi kukaa kwenye ndege kwa muda mrefu kutokana na tatizo la moyo.He was murdered. Hakuna Siri tena. Ushahidi wa Mazingira unaonyesha. Kuna wanafamilia walitaka kukanusha kwamba mzee hakuwa na Tatizo la Moyo washauri wakapiga stop kwa Usalama wao. Magu alikuwa na Afya imara Sana hata wewe unajua
Sure? Wanafamilia Gani hao mkuu maana msemaji anadai alikuwepo siku JPM anafariki na hakukanusha kuwa haumwi.Kuna wanafamilia walitaka kukanusha kwamba mzee hakuwa na Tatizo la Moyo washauri wakapiga stop kwa Usalama wao
Sidhani, kampeni mbona alishindwa kufanya kama alikua na afya njema?Magu alikuwa na Afya imara Sana hata wewe unajua
Interesting, unaweza tusaidia aliuwawa vp?He was murdered. Hakuna Siri tena.
If that's the case, why wouldn't the old CEO abandon the Nyerere Dam now that the late CEO is gone? It really doesn't add up if at all, that was a sole reason to assassinate the deceased CEO..Anakuja mtu anakuambia nahamisha nawekeza kwenye umeme wa maji ni ni nafuu,huku wewe ulisha plan gesi ifike bagamoyo pasipo na chochote.ila
Mfano kipi kiliwezekana? Mbona alikua anakopa kwa mabeberu pia.Tuwe wa kweli linapokuja swala la maisha ya watu, nchi hii kuna mtu alitufundisha kuwa inawezekana ila kunawatu wanachepusha ukweli kwa kutuambia kuwa haiwezekani
Hapa hatuongelei affordability tunaongelea capacity. Huyo anadai mabwawa yanahujumiwa watu wauze majenereta. Ndio nikamuuliza kwanini wahujumu mabwawa yanayozalisha only 30% ya umeme wa Tanzania alafu wasihujimu Bomba la gesi linalozalisha zaidi ya 60% ya umeme?nchi yetu pamoja na vyanzo vyake umeme ambao ni affordable ni wa maji, na hyo unayosema 60% ni gesi but ipo kwenye karatasi
Ngonjera zipi Mkuu? Mbona NIDA ilimshinda mpaka anaondoka anafariki hatukupata vitambulisho. Mbona suala la wamachinga lilimshinda same to Bandari. Bado sijaongelea korosho Hadi akaogopa kufanya kampeni kabisa huko kusini.Kwa nn in 6yrs hatukuwa na hizi ngonjera? Au zimetoka wapi ghafula?
Soma vizuri kwa Yoga. Utaona why projects za JPM zinaendelea.If that's the case, why wouldn't the old CEO abandon the Nyerere Dam now that the late CEO is gone? It really doesn't add up if at all, that was a sole reason to assassinate the deceased CEO.
We jamaa mwongo sana. Yule mzee alikuwa na tamaa ya madaraka kuliko fisi akiona mzoga.Hakuna kitu kama hicho, hayo mambo ya kujiongezea muda yalipigiwa chapuo na watu waliokuwa na agenda ya kumchafua ili aonekane alikuwa na tamaa ya madaraka lakini naamini asingeongeza hata sekunde moja ya utawala.