Iyo link iko wapi mzee nikacheck mkuu wanguMungu alipoamua kuiangamiza Sodoma na Gomora alituma MALAIKA ambao walikuwa Kwa mwonekano ni watu kabisa.
Biblia inasema Lutu na familia yake walishikiwa mkono wakatolewa Kwa nguvu nje ya mji Ili wasiangamie Kwa mishale ya moto Kutoka Mbinguni.
Kuzimu nayo Kwa kuiga hawajambo, wakaona nao watengeneze watu wao Kutoka Kuzimu waje wazaliwe na kutimiza mission zao kusaidia kukamilisha mpango wao wa NEW WORLD ORDER.
Amini usiamini nafasi nyingi za kiutawala DUNIANI wameteka wao, Mahospitalini wamejaa, Mashuleni wapo, na Kila secta muhimu, Nia ni kuwamaliza Wana wa Mungu Ili waiteke Dunia.
Pia wapo kuhakikisha DEVILISH behaviours zinahalalishwa Duniani mfano ushoga, Utoaji mimba, dawa za kulevya, VITA, DHULUMA,Sheria kandamizi dhidi ya Ibada nk.
Dunia nzima, 60% ya watu unaowaona, ni mapepo mixture na WANADAMU, mama ni mtu baba ni PEPO, au baba ni mwanadamu kazaa na pepo aliyekuja kama binadamu.
40% pekee ndo WANADAMU Kutoka uzao wa Adamu, yaani baba na mama wanazaa mtoto hajachanganya uzao.
Ukitaka naweza kukupa link uone watoto na watu waliozaa na mapepo na wanaishi hapa hapa Kwa kampuni yetu.
Dunia ilipofikia ni pabaya sana, hutakiwi kurelax, tafuta sana maarifa na Kumjua Mungu.
Ni huruma kwako utapojua mkeo ni PEPO ktk form ya kibinadamu, au shangazi n.k
Niishie hapo Usijekosa USINGIZI, ingawa ndo KWELI.
Ameeeen.
Endelea kusoma utazikuta mbele. Page 244 na 246Iyo link iko wapi mzee nikacheck mkuu wangu
Page 244 na 246 Kuna video U-Tube ukwaju amesaidia kupost baada ya kuona sourceIyo link iko wapi mzee nikacheck mkuu wangu
Nasikia zipo kwa juu huko lakini sioni link zitakazo tupeleka moja kwa moja ni mwendo wa video tu yutube hukoAlafu upige iyo crossi pande hii mkuu.
...Mchezo ulishaisha tangu hapa.Odii kapigwa za uso dk za mwishoni ndio anakuja kustuka BT yupo kwnye mission.
msanii pendwa nae kuwepo kwenye mkutano wa kufunga kampeni za uchaguzi wa kumtafuta CEO mpya wa Kampuni ya nchi jirani pia ni nayo ni trick.muda utasema. yoga
...Camera ziko On muda tu Odii akiskia sauti ya director "ACTION" watu wanachukua Cameras zote,wanachukua [emoji3575][emoji3575][emoji3575] wanaondoka zak na movie linaisha odii kazubaa
...Kuwa mpole, subiri matokeo.
Unapoenda kulala ndo muda ambao wenzako wanaingia kazini
Decode mission ya BT against Odii!!!Mchezo ulishaisha tangu hapa.Odii kapigwa za uso dk za mwishoni ndio anakuja kustuka BT yupo kwnye mission.
msanii pendwa nae kuwepo kwenye mkutano wa kufunga kampeni za uchaguzi wa kumtafuta CEO mpya wa Kampuni ya nchi jirani pia ni nayo ni trick.muda utasema. yoga
Hii ngumu sijaielewa kabisa.Decode mission ya BT against Odii!!!
Aliandika kwa hisia tu ,kwa maono tu alifikiri odii atashindwa imekua kinyume chakeDecode mission ya BT against Odii!!!
Anazuia kampuni isije kuangukia kwenye mikono ya lady gaga wa huko akawa remoted na CEO anaemaliza Muda Wake!!Decode mission ya BT against Odii!!!
Haya mambo haya!!! Ndomana Suleiman Aliomba AKILI, BUSARA na Maarifa kuongoza.Anazuia kampuni isije kuangukia kwenye mikono ya lady gaga wa huko akawa remoted na CEO anaemaliza Muda Wake!!
Pia inaonekana P mrefu na freedom zinaiva!Sasa sijui Bt anafaidikaje na Ruto akichukua mikoba ya kampuni!!
Kumbe kuna tetesi hakutokucha salama!!?Haya mambo haya!!! Ndomana Suleiman Aliomba AKILI, BUSARA na Maarifa kuongoza.
Tuendelee kuomba ajili Yao maana GIZA limetanda, Tuombee pakuche salama.
Mission failed I say mission failed kweli BT ni BT[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Kumbe kuna tetesi hakutokucha salama!!?
Yaani odii chali!!?au Bt chali au bloodshed pande mbili zinazowania uceo wa kampuni!!?
No, ni kushindwa na Si Chali Hy.Kumbe kuna tetesi hakutokucha salama!!?
Yaani odii chali!!?au Bt chali au bloodshed pande mbili zinazowania uceo wa kampuni!!?
Binafsi Kura zikitosha Rutto is next president, na zitatosha tena nyingi tu