American height
Member
- Jul 7, 2020
- 18
- 32
Yule dada wa taifa sham nginja
Anasema baada ya MSTAAFU anaeaga kuwa upande wa mama Hadi kuhakikisha anaapishwa kukaaa kitini!!
Alipelekewa zawadi ya gari ya mil.800 kama zawadi Sasa baada ya KUPEWA funguo akamtuma kijana wake akakague Gari !yule msaidizi akakauka ndani ya Gari na kufa papi HAPO !!KUMBE ilikuwa mtego KWA muagaji wa magu kule Mwanza!
Dada Anasema japo ameomba kustaafu lakini too late coz sumu ishaingia kwenye blood circulatory system!na ata nock down soon and his days are numbered!!!
Decoded!
Refer DK 45 za ITV majuzi akihojiwa na Farhia huyo anaehojiwa Ndio Huyo!!!
Wimbi la ngapi Hilo!!?HABARI SERIKALI imetoa tahadhari dhidi ya ugonjwa wa UVIKO-19 kuwa upo na kuwataka wananchi kuzingatia kanuni zote za kukabiliana nao ikiwa ni pamoja na uvaaji wa barakoa.
Ummy Mwalimu Waziri wa Afya
Jana tarehe 29.7.2022
Mkuu ilikua kuupima maji kwa kijiti.Hivi ni Nani Alieandika “SIITAKI KAMPUNI HII 2025” kwenye News za Kijani!??
Nchi ngum Sana, hivi waziri anajua kwamba amelazimisha chanjo huku chini wamempkia data Kama hawana akili nzuri, data alizonazo ni feki hamna kitu pale ,HABARI SERIKALI imetoa tahadhari dhidi ya ugonjwa wa UVIKO-19 kuwa upo na kuwataka wananchi kuzingatia kanuni zote za kukabiliana nao ikiwa ni pamoja na uvaaji wa barakoa.
Ummy Mwalimu Waziri wa Afya
Jana tarehe 29.7.2022
Ni kweli, from deep states. Target wamemlock kule alipopiga picha na mkewe na Dr. Wake walipoenda kumtupia mawe shetani. Hatakiwi rudi nchini Bangaladesh na Malkia wa Pakistan sasa anaendelea kuleta mikeka na kuunda umalkia wake na states wamemuambia malkia atoe wale wa target kwenye nafasi kuanzia branch managers n.k. mikeka yote itakuja na sura mpya. Kazi ya kumuweka lock up imeratibiwa vizuri na Mstaafu na aliyemuachia kiti "mzee wa infantry"Target is locked
Ni jambo lenye kutafakarisha sana ndani ya hii simulizi.
Let's wait and see.
Wamuekee target na Yule paka ili naye atoweke mazimaNi kweli, from deep states. Target wamemlock kule alipopiga picha na mkewe na Dr. Wake walipoenda kumtupia mawe shetani. Hatakiwi rudi nchini Bangaladesh na Malkia wa Pakistan sasa anaendelea kuleta mikeka na kuunda umalkia wake na states wamemuambia malkia atoe wale wa target kwenye nafasi kuanzia branch managers n.k. mikeka yote itakuja na sura mpya. Kazi ya kumuweka lock up imeratibiwa vizuri na Mstaafu na aliyemuachia kiti "mzee wa infantry"
Inahuzunisha sana [emoji22][emoji24][emoji22][emoji24][emoji22][emoji24]Ni kweli, from deep states. Target wamemlock kule alipopiga picha na mkewe na Dr. Wake walipoenda kumtupia mawe shetani. Hatakiwi rudi nchini Bangaladesh na Malkia wa Pakistan sasa anaendelea kuleta mikeka na kuunda umalkia wake na states wamemuambia malkia atoe wale wa target kwenye nafasi kuanzia branch managers n.k. mikeka yote itakuja na sura mpya. Kazi ya kumuweka lock up imeratibiwa vizuri na Mstaafu na aliyemuachia kiti "mzee wa infantry"
Basi sikukuelewa. Samahani kwa hilo mkuu!!Mkuu, Ludia kusoma sija mhusisha na tamthilia yetu Pendwa.
Wakati tunamsubili mtunzi wa hii riwaya ashushe tungo zake, kuna soga zinaendelaa, kama zinakukwaza pole, jitahidi kupita kama huzioni.
Kwahiyo wamemkatishia connection za kwenye kampuni au wamemlisha kitu cha kumsafirisha kwenye ulimwengu mwengine?Ni kweli, from deep states. Target wamemlock kule alipopiga picha na mkewe na Dr. Wake walipoenda kumtupia mawe shetani. Hatakiwi rudi nchini Bangaladesh na Malkia wa Pakistan sasa anaendelea kuleta mikeka na kuunda umalkia wake na states wamemuambia malkia atoe wale wa target kwenye nafasi kuanzia branch managers n.k. mikeka yote itakuja na sura mpya. Kazi ya kumuweka lock up imeratibiwa vizuri na Mstaafu na aliyemuachia kiti "mzee wa infantry"
Sio kweli.Ni kweli, from deep states. Target wamemlock kule alipopiga picha na mkewe na Dr. Wake walipoenda kumtupia mawe shetani. Hatakiwi rudi nchini Bangaladesh na Malkia wa Pakistan sasa anaendelea kuleta mikeka na kuunda umalkia wake na states wamemuambia malkia atoe wale wa target kwenye nafasi kuanzia branch managers n.k. mikeka yote itakuja na sura mpya. Kazi ya kumuweka lock up imeratibiwa vizuri na Mstaafu na aliyemuachia kiti "mzee wa infantry"
Malipo ni hapahapaBasi sikukuelewa. Samahani kwa hilo mkuu!!
Mtu anapiga picha na kina kalapina wengine wanasema eti yuko sijui wapi 😀Sio kweli.
Mbona juzi nimemuona anaelekea Kijijin kwao mgaso.
Kivipi, sijakuelewa!Malipo ni hapahapa
Hkun jipya wee unatoka saa ngpi wkt kila siku upo humu na nyuz zako ziziloelewekaHuu uzi soon utakuta 5k ila nasikitika kutokuusoma wote kwa sababu kazi ni nyingi zimeniandama natoka asubuhi narudi usiku, ngoja nitauvutia waya jpili
Wewe ni KIBWENGO utake usitakeNdugu Ngarob, neno VIBWENGO na GIZA linatumika vibaya, labda halieleweki maana yake.
Mimi Si KIBWENGO, nakataa, Mimi ni Mwana wa Mungu Alie hai. Maana umechangia hoja ukitumia Jina vibwengo ukimaanisha raia.
Pia GIZA linatumika vibaya. Security personnel working undercover au VIPEPEO'' na taasisi zote ni Kwa Maslah ya nchi, hivyo matendo Yao Si ya Giza. Hata Mungu Mbinguni ana Malaika walinzi.
Matendo Yao yanabadilika na kuwa ya GIZA ikiwa tu yatakiuka HAKI kunufaisha wadhalimu, au kulinda wakubwa waovu.
Giza nilijualo mm ni Ule Ulimwengu wa ROHO unaofanya KAZI chini ya SHETANI mwenyewe kupitia agents wao nlowataja before.
Vita yangu kubwa ni Katika Ulimwengu wa ROHO kuhakikisha mifumo ya utawala ktk Nchi yangu TZ haitokani na SHETANI kupitia agents wake,vibwengo,Illuminati, wachawi,mizimu,mapepo nk.
Hayo madude hutaka Damu kama sadaka, Ajali za moto, matetemeko, kuzamisha meli, treni nk ni KAZI zao.
Watawala wakipata kumiliki kupitia Kwa Mungu alieumba mbingu na Nchi, hapatakuwa na RUSHWA, mauwaji, wizi, fitna, dawa za kulevya nk.
La MUNGU limekuwa, Amen
Yoga ameleta balaa, wakati najikuta nacheka na comment za wadauSio kweli.
Mbona juzi nimemuona anaelekea Kijijin kwao mgaso.