Naomba kujua ni kwann baadhi ya content zilizokuwa ktk hadithi Yako zimechomolewa?Kabla ya Uchaguzi boss alitaka amuweke mrithi wake kwenye kampuni yake, mrithi anayemtaka yeye. Ila kutokana na upinzani mkubwa ndani ya kampuni maamuzi magumu ilibidi yafanyike
Baada ya Uchaguzi kuna mtu alipata uongozi accidentally. Hakuwa chaguo la boss, alipewa sababu ya kuua kambi!
Big boss anayemaliza muda alifanya maamuzi hayo akiamini ataweza kum-control kwakuwa file lake analo na anamjua na amempa ili kunusuru mkatiko mkali kwenye kampuni.
Alijua ataleta umoja ndani ya kampuni. Mambo yalibadilika baada ya new boss kupewa kijiti na kukabidhiwa ofisi!
Alichofanya ni kutengeneza timu yake na kuondoa timu yote ya mtoa kijiti! Akaenda mbele zaidi kupitia files na kuanza kutindua maslahi ya mtoa kijiti kwenye kampuni!
Mbaya zaidi, akamfukuza mwenye kijiti, au the old boss kwenye kampuni anayoamini ni ya kwake na bila yeye haiendi!
The New Boss alipewa notification na maelekezo kuhusu mambo kadhaa mara kadhaa, ila aliskika akijibu, yeye ndio mwenye kijiti na hakuna wa kumpangia! Hataki maelekezo na kwanza haelekezeki!
Alijibu hivyo hadharani bila woga wala hofu! Kwakuwa alimjua adui ni nani! Alianza mpaka kutangaza kuwa kampuni ile sasa ni yake na chini yake inafanya makubwa sana, na wale wa zamani walikuwa wanaifilisi!
Haikuwa habari njema saaaana kwa mwenye kijiti kabla ya uchaguzi na backup system yake! Discussion zilifanywa mara kadhaaa kumjadili new big boss in town kumbe the new boss alikuwa anawarecord all the time!
Alichokifanya ni kuvujisha badhi ya convos za washirika wa adui mkuu kum-notify ironically kuwa anajua wanachomjadili na anajua hawampendi! Na amejipanga au ameji-sacrifise yupo tayari kwa lolote!
Shida ikaanza, after a discover kuwa deal za the old big boss zinazimwa na zinachukuliwa kwa nguvu na stakeholders wapya chini ya maelekezo ya the new big boss na stakeholders wa zamani wanatupwa nje ya ukuta!
Ikatisha zaidi baada ya boss mpya kutaka kuwa CEO wa milele! Na akapanga watu wa kuhakikisha hilo linakamilika!
The old boss akakaa chini, akafikiria akaona kama huyu 4 years tu kanifanya hivi je 20 years to come?
Muda ukaenda, the old boss played dead! But came up with a plan, involving the closest friend and the system in the company kama tunavyojua, the old the wine...... the fine it becomes!
The new Big boss kajichanganya during campaings za kuusaka u-CEO tena, akapigwa tukio, after Uchaguzi wa pili wa kampuni only three months akatema ndoano!
Msaidizi wake akaitwa chemba, maelekezo akapewa achukue kijiti, afanye reform mambo kwabu yanapaswa kurudi kama zamani!
Msaidizi kuangalia hali ilivyo, akaanza kurudisha the old structure kwenye kampuni! The only difference ni yeye ndio CEO but behind the scene there is another CEO!!
Let see will the new boss stick to the plan? or...
Itaendelea.......
Guess the company!??
Muendelezo Soma Dark days 17/03/20.…...
Angalizo: Story hii haihusiani na chochote Dark days 17/03/20...
Hivi kweli hujui where to channel your problems mpaka uje kujianika humu?na bila kukosea wewe utakua mtumishi kada ya elimu ya msingiYoga mi nna shida serious juzi kati nilifanyiwa upasuaji wa mishipa ya moyo hivyo kwa hali yangu ya kiafya na changamoto iliyonikumba nimeshautiwa nihame Rufiji nije Dar karibu na jkci lkn nimenza kukumbana na changamoto toka kwa mkuu wa idara inshort urasimu mkubwa mnoo hawataki nihame bila sababu wala kuhudhuria Clinic naomba ongea na maza nipate uhamisho tu kutoka Rufiji kuja Dar jamani wanataka nife niwaache wanangu bado wadogo wa kwanza Imma miaka 3 na nusu na wapili Gracious mwaka 1 na nusu.
Yoganisaidie hili plz
Hawataki tuelewe mara Mbili Baada ya ku digest content kwa kina!wanahisi kuna smart elites wats dig deep hata kusitisha mipango fulani endelevu ya story yenyewe!!!Mbwa mwitu akila nyama anafuta mdomo Ili asiliwe na wenzake!hii ni story tu!!!Naomba kujua ni kwann baadhi ya content zilizokuwa ktk hadithi Yako zimechomolewa?
Je wasomaji walinogewa na UTAMU wakaona wachane kurasa za kitabu?
Je wanahisi "Labda Kuna UKWELI ktk hadithi Yako wanajistukia?
Bado mwandishi ni wewe yule yule wa tangu MWANZO au mnapokezana kuandika?
Wakumbuke pia kuwa "UOVU" hautamwokoa yule aliyeuzoea.Hawataki tuelewe mara Mbili Baada ya ku digest content kwa kina!wanahisi kuna smart elites wats dig deep hata kusitisha mipango fulani endelevu ya story yenyewe!!!Mbwa mwitu akila nyama anafuta mdomo Ili asiliwe na wenzake!hii ni story tu!!!
Kwa aina ya Uandishi wako ni km una uhakika wa kujua full story ambayo yoga ameandika mkuuWanampa vipande Ndio anapost huwezi kuwa deep kwenye mambo YOTE Hayo Hata Kama ni genius!!!
Full ujasusi wa lugha ya picha ambayo ni riwaya tu!!
Hii ni riwaya tusome TU!!
Sidhani, nionavyo ni anatumia akili yake vizuri kufikiri.Kwa aina ya Uandishi wako ni km una uhakika wa kujua full story ambayo yoga ameandika mkuu
KWAMBA!
Asee, watu mnawahi kuamini mapema sana, ghafla bin Vuuuh ushaaminiKWAMBA!
Baada ya mapambano meengi Sana! kuumizana,kuuana,kutukanana,kusaidiana,kuacha legacy na kulitumukia TAIFA!
Kuna dhambi pia nimefanya sasa ni bora nikahiji nisamehewe dhambi niwe msafi kama Mtoto niliyezaliwa leo!
Ndipo nilipe sasa lile agano nilioingia na mungu wa Dunia Baada ya kunipigania na kufikia ndoto zangu!!ndipo nikamalizie safari yangu huko akhera(kuzimu) nilipopatia utajiri na heshima za kidunia!!
Nimuage na mke wangu kwa hija kengele imeshalia !!
Buriani !mtaniandika kwenye kitabu cha kumbukumbu!!!
NAJARIBU KUWAZA KWA SAUTI!WAKUBWA WANA MENGI SANA MIOYONI MWAO!!
Huyo mweusi wa pembeni kulia unahsi KAZI yake nn.Mzee wa msoga. View attachment 2284428
Kwamba tayari gari linatembea na fundi "makenika"?Huyo mweusi wa pembeni kulia unahsi KAZI yake nn.
Mkuu wakitengo cha taasisi ya moyo ila nahisi ana kazi zaidi ya hiyoHuyo mweusi wa pembeni kulia unahsi KAZI yake nn.
Kuna comment nimeisoma mahali inasemaHuyo mweusi wa pembeni kulia unahsi KAZI yake nn.
Mleta PICHA anaharibu Uzi Kwa namna moja au ingine.
Kikosi cha maangamizi
Dr and Dr by professional wakila kiutubio mbele ya halutale uko Saudi Arabia. Wanakosema kwamba uondoa madhambi ya mtu na kurudi kundini. Lakini dini zingine wanasema dhambi zingine huwa hazifutiki utakumbana na mkono wa sheria tu uko kuzimu.Wakumbuke pia kuwa "UOVU" hautamwokoa yule aliyeuzoea.
Siku ya malipo yaja. Amen
Wakumbuke pia kuwa "UOVU" hautamwokoa yule aliyeuzoea.
Siku ya malipo yaja. Amenkiu
Hii picha inazungumza kitu....kwann mtu wa katikati mikono yake inaonekana yote miwili jambo ambalo ni tofauti na wenzie wa upande wake ?
Mwisho wa picha unaweza kuta yeye ndio stelingi, kama movie za kibongo tu...KWAMBA!
Baada ya mapambano meengi Sana! kuumizana,kuuana,kutukanana,kusaidiana,kuacha legacy na kulitumukia TAIFA!
Kuna dhambi pia nimefanya sasa ni bora nikahiji nisamehewe dhambi niwe msafi kama Mtoto niliyezaliwa leo!
Ndipo nilipe sasa lile agano nilioingia na mungu wa Dunia Baada ya kunipigania na kufikia ndoto zangu!!ndipo nikamalizie safari yangu huko akhera(kuzimu) nilipopatia utajiri na heshima za kidunia!!
Nimuage na mke wangu kwa hija kengele imeshalia !!
Buriani !mtaniandika kwenye kitabu cha kumbukumbu!!!
NAJARIBU KUWAZA KWA SAUTI!WAKUBWA WANA MENGI SANA MIOYONI MWAO!!