Mkuu huko kwenye kampuni kuna mengi sana hatujui..Vita ni kali, uwezekano wa kumstaafisha mstaafu ni mdogo sana.
Nasikia kuna komando mmoja akimwambia late CEO kuwa huwezi kuongoza kampuni bila kumwondoa born town. Akaomba apewe kazi ya kumwondoa born town. Late CEO akachelea mwana kulia. Kalia yeye.
Late CEO ni kama alimdharau born town kiuwezo katika medani ya vita. Ni bora angekubaliana na yule komando.
ajina nani hao mwana hebu hata DM tu nijue pekeyangu! Maisha kumbe yanaenda kasi eeMkuu huko kwenye kampuni kuna mengi sana hatujui..
Kiufupi Late CEO alijaribu sana tuu..
Narudia.. Late CEO hakumdharau... Bali alijaribu... Uzuri born town alikuwa akipewa taarifa kabla..
Hukuwahi kusikia mtaani kipindi flani walitumwa watu 5 kwa kazi maalum juu ya born town 4 wakarudisha jezi kwa kipa?
Jamani mtatuua kwa code ngumu kiasi hichoking maker from shamba, "the shahab" is back for balance and check looking after cow boyz biz in big shamba.... "hakikisha mawimbi yanapoa"
Dah! Nazidi kupotezwa jamaniriwaya ndani ya riwaya...
history started far long time, Ex FUC aka Mr chair was part of it but his babu's confused him with their dreams......now its the history..
Tanzania ni zaidi ya wengi tuijuavyo, kuna mengi sana ya gizani, unavyowaza sio ilivyo... uhalisi unabaki gizani, ukiingia kuutafuta utapotea huko gizani... mmoja yuko hai..
Hata pale ofisi kuu wengi wanabaki gizani, ni wawili tu ndio nao ni sehemu ya walio gizani na wanajua mengi....
Nchi kuwa salama na watu kuishi mkwanywa bia na kuwa huru, mkalala na kugongana usiku TUTAMBUE KUNA MENGI GIZANI TUSIOYAONA...
Je code ya cat? Maana huko juu imeandikwa cat+btKwa mujibu wa hii riwaya ni ufupisho wa born town.
Kama ingekuwa ni Tanzania kwa mfano tungemuita Mzee Kikwete, mzee wa kutabasamu.
Ni kazi ya fasihi tu, isikusumbue.
Aisee!Mkuu huko kwenye kampuni kuna mengi sana hatujui..
Kiufupi Late CEO alijaribu sana tuu..
Narudia.. Late CEO hakumdharau... Bali alijaribu... Uzuri born town alikuwa akipewa taarifa kabla..
Hukuwahi kusikia mtaani kipindi flani walitumwa watu 5 kwa kazi maalum juu ya born town 4 wakarudisha jezi kwa kipa?
Ebhana sio poaHahaa nimekumbuka kitu..
Unajua hata kipindi hiko 70's Aliyekuwa CEO wa kwanza wa Kampuni yalishamtokea mara nyingi akawa anakwepeshwa na wasamaria wema..
Akataka kujua chanzo.. Akaambiwa umekaa sana kwenye kitu.. Achia madaraka yeye hasikii..
Kwenye 80's akiwa kwenye vikao vya ndani ya kampuni akasema nikitoka kwenye kiti hiki basi Mfanyakazi wangu hodari (anatoka kwenye jamii ya wafugaji) ndiye anayefaa..
Washikadau wa kampuni wakapigwa butwaa huyu msimamizi mkuu wa shughuli za kampuni anatusumbua namna hii kila dakika ni uhujumu uchumi...
Wakasema hapana.. Aliandaliwa msafara kutoka Makao kuja mjini akala mzinga wa hatari.. Ceo wa wakati huo alipopata taarifa ya msiba wa msaidizi wake mkuu wa shughuli.. Akajua kituo kinachofuata ni yeye mwenyewe.. Ndipo ikatoa tangazo kubwa kwamba NANG'ATUKA..
Basi washikadau wakatulia na ndipo ikaleta terms ya kuchukua kiti cha CEO ni miaka 10 tuu..
Ukizidisha kitakachokupata usilalamike..
CAT kwa Kiswahili ni PAKA.Je code ya cat? Maana huko juu imeandikwa cat+bt
Hao Chawa wa Jiwe sijui wamefia wapi,au corona iliwachukua?Kumbe huyu yoga ni memba toka 2013!!?
hakuletwa na mafuriko ya kisiasa kama akina biayetu aka Kawe alumni
Katika hilo hata mimi pia nakubaliana na wewe, pengine hata jina hili la YOGA ni "acronym" ya majina fulani. Tukubali tu ya kwamba katika hii ni tamthiliya ndani yake imeshadadiwa na kushereheshwa na matukio fulani ambayo unaweza kusema kuwa baadhi yake yamewahi kutokea na kuwagusa moja kwa moja wahusika fulani halisi.Hilo nakubaliana na wewe, ila sio mtu mmoja bali ni kundi la watu. Ndio maana anajua yanayoendelea kwenye team zote 5
Ila ndiyo hivyo wahuni wameshammezesha ndoano.Nimesoma hii story na comments kuanzia page ya kwanza mpaka mwisho nimegundua BORN TOWN ni mtu muhimu sana, ni kiungo bora sana kwenye kampuni na yuko well organized anaangalia mbali sana especially kwenye part ya security ya kampuni ahsante kwa hii hadithi ndugu [mention]yoga [/mention]
Cat=pakaJe code ya cat? Maana huko juu imeandikwa cat+bt
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119] dahking maker from shamba, "the shahab" is back for balance and check looking after cow boyz biz in big shamba.... "hakikisha mawimbi yanapoa"
Mkuu, ulichelewa sana kulitambua hili. He is the plan master. Yaani ndo playmaker.Nimesoma hii story na comments kuanzia page ya kwanza mpaka mwisho nimegundua BORN TOWN ni mtu muhimu sana, ni kiungo bora sana kwenye kampuni na yuko well organized anaangalia mbali sana especially kwenye part ya security ya kampuni ahsante kwa hii hadithi ndugu [mention]yoga [/mention]
Outsider, Insider, Mr Culture, aliyeoigiwa simu na KP kupewa pole ya kuumwa, ambaye anadaiwa late CEO alimfanya vibaya ambaye ni rafiki wa mpiga simu. Who is this? Mr Culture na huyu ni watu wawili tofauti, aliyeoigiwa simu anampigia cyrrent CEO simu wanakutana na kupanga mipango.Wee sema nikudadavulie, kwa code gan ngumu hapo? Woiiiiiiih