Kazi inafanyika Mkuu! Uzuri ni kwamba, Fikra hizi zi miongoni mwa wengi sana.
Ni faraja sana kukutana nazo kwa wengine, huondoa Upweke, hutia tumaini na hujenga ujasiri katika harakati.
Ziko mikono salama, msingi unajengwa. Tumaini lipo.
Anaita sasa!