darchat imekuwaje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

darchat imekuwaje?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by gambalanyoka, Nov 21, 2011.

 1. g

  gambalanyoka Member

  #1
  Nov 21, 2011
  Joined: Mar 13, 2011
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani nauliza ule mtandao wa darchat uliokuwa unatoa nafasi ya kudetiana umekwenda wapi?.Kila nikibofya haupatikani,nani anaelewa anipashe nimeumiss sana
   
 2. aye

  aye JF-Expert Member

  #2
  Nov 21, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 1,987
  Likes Received: 249
  Trophy Points: 160
  ingia marafiki.com sema haina nguvu kama zamani facebook imeimaliza kabisa
   
Loading...