Darasani enzi hizoooo..... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Darasani enzi hizoooo.....

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by dudupori, Feb 18, 2012.

 1. dudupori

  dudupori JF-Expert Member

  #1
  Feb 18, 2012
  Joined: Jan 6, 2012
  Messages: 1,026
  Likes Received: 252
  Trophy Points: 180
  Wadau nilikuwa napitia vijitabu fulani vikanikumbusha enzi za shule ya msingi kwenye somo letu la kiswahili, nimetokea kuvutiwa na ile topic ya unyambuzi wa maneno. Nakumbuka mwalimu wetu enzi hiyo alikuwa mkali balaa ikitokea umekosea swali la kunyambua maneno kwenye mtihan wake sababu ni katopic ambako hakuhitaji kutumia msuli mkubwa kumwelewesha mwanafunzi labla itokee uwe kilaza wa kutosha. Wadau si vibaya hebu tujikumbushe kunyambua baadhi ya haya maneno.
  1. Kaza
  2. Gonga
  3. Tia
  4. Panda
  etc.
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Feb 18, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280

  Kazana
  Pandana
  Tiana
  Gongana
   
 3. dudupori

  dudupori JF-Expert Member

  #3
  Feb 18, 2012
  Joined: Jan 6, 2012
  Messages: 1,026
  Likes Received: 252
  Trophy Points: 180
  Angalau nawe ulikuwa unazipatia hukuwa kilaza kivile.
   
 4. vanmedy

  vanmedy JF-Expert Member

  #4
  Feb 18, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 2,244
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Huna lolote mjomba unataka kutukana tuuu... Umeangalia criteria zipi kuchagua hayo maneno kama mfano
   
Loading...