Sambusa kavu
JF-Expert Member
- May 4, 2015
- 797
- 1,264
Siku 5 Views wachache hivyo wale wasanii wa wasafi wakitoa ngoma kabla haijafikisha masaa 24 wanagonga 1m views sio bure kunakitu watakuwa wanachokonoa!
unaipigia promo twende tukaongeze viewers
Hapa ndo unapoona kipimo cha nyimbo ya darasa kupendwa...maana views za Kokoro ni nyingi kwa sababu ya matimu,lakini kama hii nyimbo Darsa angekuwa featuring nd either Domo au Kiba basi saivi tulikuwa tunaongelea viewer +2milion.....
kwani kupromote kazi yako dhambi? Labda hujui maana ya promo hata hiki unachokifanya hapa ni promo!hii ngoma haiitaji promo mzazii...inajitosheleza kwa kila kitu,hata mgonjwa alielazwa na madripu juu akiisikia tu ananyanyuka mwenyeweeee
I bet you, hii kitu lazima itagonga +3militakomea Laki 9
Hawajielewi hao team DimpozKwaiyo mkuu unataka kusema wakina Mondi wameshaacha mchezo wa kununua au?? maana Kokoro nayo ni siku ya 5 leo lakini ina 665k
wewe mwenyewe mbona unaonekana ni team darasa!Hapa ndo unapoona kipimo cha nyimbo ya darasa kupendwa...maana views za Kokoro ni nyingi kwa sababu ya matimu,lakini kama hii nyimbo Darsa angekuwa featuring nd either Domo au Kiba basi saivi tulikuwa tunaongelea viewer +2milion.....
Wito wangu......tuweke timu pembeni na kukisupport kitu kizuri kwa pamoja...ndo njia pekee ya kuukuza zaid mziki wetu kimataifa