Darasa nae aanza kununua views Youtube!

Sambusa kavu

JF-Expert Member
May 4, 2015
795
1,262
Sasa nimeamini rasmi kuwa viewers wananunuliwa Youtube, maana naona hata Darasa nae kaanza kununua viewers.. Haiwezekani 5 days apate viewers +300K..

Ebu ivutieni picha hii nyimbo yake halafu imagine watu wenye mitimu yao humu ndani jinsi ambavyo wangekuwa wanaipa promo inayostahili.. Imagine chorus ya Ben Pol ndo angekuwa ameimba Alikiba au Diamond...

Daaaah kweli hizi timu zitatupeleka kubaya sanaaaaa.

Anyway Dj lete mamboooo.. ''Maisha na muziki, acha maneno weka muziki.... ayeee yeee''

Hili ngoma limenidhihirishia kuwa kumbe hata bibi yangu bado ana nguvu za kusakata dansi..

Screenshot_2016-11-28-10-41-04.png
 
Siku 5 Views wachache hivyo wale wasanii wa wasafi wakitoa ngoma kabla haijafikisha masaa 24 wanagonga 1m views sio bure kunakitu watakuwa wanachokonoa!
 
Siku 5 Views wachache hivyo wale wasanii wa wasafi wakitoa ngoma kabla haijafikisha masaa 24 wanagonga 1m views sio bure kunakitu watakuwa wanachokonoa!

Kwahiyo mkuu unataka kusema wakina Mondi wameshaacha mchezo wa kununua au?? maana Kokoro nayo ni siku ya 5 leo lakini ina 665k
 
Bongo sisi waswahili hata sishangai ukionekana una mafanikio kuwazidi hawaishi kukusakama kwa maneno ili mradi tu ushuke chini uwe kama wao.
Nilishaamini waswahili si watu wa kuwaendekeza hata kidgo la si hivyo wanaweza kukuendesha sana big up darassa, wimbo mzuri, na big up mond kwa kuufikisha mziki wetu level ya kimataifa
 
Umefunika hata kokoro wanunua views bila ommy dimpoz kuwaaibisha kuhusu kununua views wangekua washafikisha 1mil
 
  • Thanks
Reactions: G 6
Umefunika hata kokoro wanunua views bila ommy dimpoz kuwaaibisha kuhusu kununua views wangekua washafikisha 1mil
una uhakika..??
RICH MAVOKO FT DIAMOND PLATNUMZ - KOKORO ( OFFICIAL VIDEO)

676,119 views
 
Unachuki zako ngoma noma sana...darasa huwezi Fanya kitu bila kwenda class
 
una uhakika..??
RICH MAVOKO FT DIAMOND PLATNUMZ - KOKORO ( OFFICIAL VIDEO)

676,119 views
Hapa ndo unapoona kipimo cha nyimbo ya darasa kupendwa...maana views za Kokoro ni nyingi kwa sababu ya matimu,lakini kama hii nyimbo Darsa angekuwa featuring nd either Domo au Kiba basi saivi tulikuwa tunaongelea viewer +2milion.....

Wito wangu......tuweke timu pembeni na kukisupport kitu kizuri kwa pamoja...ndo njia pekee ya kuukuza zaid mziki wetu kimataifa
 
mfano ulivyosema mbovu mi nikaenda kuangalia je youtube inajua nimekuja kufanyaje hiyo inahesabu tu... haters ndyo wanafanya nyimbo inaangalia sana
 
hii ngoma haiitaji promo mzazii...inajitosheleza kwa kila kitu,hata mgonjwa alielazwa na madripu juu akiisikia tu ananyanyuka mwenyeweeee
kwani kupromote kazi yako dhambi? Labda hujui maana ya promo hata hiki unachokifanya hapa ni promo!
Ila ngoma tamu sana anavyoanza kugonga gonga mike yaani mbaa ,mbaa,mbaaaa naikubali sana hiyo part
 
Hapa ndo unapoona kipimo cha nyimbo ya darasa kupendwa...maana views za Kokoro ni nyingi kwa sababu ya matimu,lakini kama hii nyimbo Darsa angekuwa featuring nd either Domo au Kiba basi saivi tulikuwa tunaongelea viewer +2milion.....

Wito wangu......tuweke timu pembeni na kukisupport kitu kizuri kwa pamoja...ndo njia pekee ya kuukuza zaid mziki wetu kimataifa
wewe mwenyewe mbona unaonekana ni team darasa!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom