Sambusa kavu
JF-Expert Member
- May 4, 2015
- 795
- 1,262
Sasa nimeamini rasmi kuwa viewers wananunuliwa Youtube, maana naona hata Darasa nae kaanza kununua viewers.. Haiwezekani 5 days apate viewers +300K..
Ebu ivutieni picha hii nyimbo yake halafu imagine watu wenye mitimu yao humu ndani jinsi ambavyo wangekuwa wanaipa promo inayostahili.. Imagine chorus ya Ben Pol ndo angekuwa ameimba Alikiba au Diamond...
Daaaah kweli hizi timu zitatupeleka kubaya sanaaaaa.
Anyway Dj lete mamboooo.. ''Maisha na muziki, acha maneno weka muziki.... ayeee yeee''
Hili ngoma limenidhihirishia kuwa kumbe hata bibi yangu bado ana nguvu za kusakata dansi..