Darasa Huru: Ufundi Laptop (Beginners To Advanced)

Safi sana mkuu.
Uzi umesimama hatarii na nimeupenda sana
 
Inawezekana kabisa Mkuu, nini kifanyike?

Boss yani majibu yote hayo waliyokupa bado unauliza nini iifanyikie..pole kwanza kwa maswahiba yaliyokukuta juu ya pc yako..vipi ulifanikiwa kutoa hiyo administrator password..
Kama bado nafikiri walimu wangejaribu kukusaidia kwa kutumia team viewer
 
Umeme haujawai kuwa poa kabsaa
Schematics zina leta njaa ata kama umetoka kula cha kushiba
 
Hongera , wewe ni wakipekee hauna roho ya korosho,WaTanzania nimefugia ujuze wetu kwa kuwa na choyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…