Mkuu inatosha tu kuandika na kutoa facts jamvini, conclusions kila mtu na akili zake.
Sioni kama ni akili sana kusema mvua zimetokea usiku huu na Nchemba yuko Star Tv asubuhi hii na bado kwa mategemeo yako Nchemba huyo huyo awe Msisi asubuhi hii.
Akili ni nywele lakini zako pungufu, nafikiri una kipara.