Daraja la Zanzibar - Dar linakuja

Daraja la Zanzibar - Dar linakuja

m2020

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2016
Posts
979
Reaction score
1,354
KWA MAGUFULI KILA JIWE LITAPINDULIWA.

Daraja hili muhimu kwa uchumi wa Tanzania Bara na Visiwani ni kati ya malengo na ndoto kubwa alizonazo mkuu wetu wa nchi mheshimiwa rais Magufuli kabla ya kukabidhi madaraka mwaka 2025.

Namuombea rais wetu afikie malengo haya ambayo watanzania wengi hawafikirii kuwa inawezekana kufanyika Tanzania kuwa inawezekana kwake na hakuna kinachoshindikana. Daraja hili litakuwa kubwa zaidi kuliko yote barani Africa na lenye manufaa lukuki na anuwai katika nchi yetu.

eeeh Mwenyezi Mungu mjaalie mheshimiwa rais wetu afanikishe ndoto hii kubwa na muhimu kwa nchi yetu pendwa Tanzania.
 
Kwani Dsm hadi Zanzibar ni km ngapi?

Hili daraja lianzie Ununio.......pale ununio kijijini usiku unaona vibatari vya Zenji ni kama 10 km tu!
 
Hilo daraja litaingiza mabilion ya pesa kwa mwaka

Magufuli anaweza

God first
 
Mkuu Magufuli Urais utakoma 2020 then ataomba ridhaa ndani ya chama chake na akipititishwa na akapata kura za kutosha na kutangazwa ndiyo unaweza sema mpaka 2025.

Punguza mahaba bila kutumia akili.
 
Hizi habari mnawafanya watu wasilale namuona mdini zito anavyochungulia huu Uzi

Jpm weka daraja tuunganishe muungano

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom