Huwezi kujua haya yote mpaka uwe na tabia ya kupenda kutembea,ukitembea au ukiamua kupita sehemu mbalimbali za nchi hii utaona mambo mengi sana makubwa ambayo hukudhani kuwa yapo au yanaweza kufanyika Tanzania.
kidolix18;
Wewe ni homboyi (home boy). Mimi nyumbani kwetu ni kijiji kimoja kinaitwa Ng'waneneka, kiko katikati ya Kadashi na Maligisu, au karibu na Ng'wabuchuma. Tuwapeni hongera nyingi sana JK, Magufuli, Mh Ndassa (Mb. Sumve) na Mh Dr. F. Limbu (Mb. Magu)