Daraja la Kigamboni

Kamera zaid ya Nne zimeshaibiwa masaa machache tangu kufunguliwa daraja hilo
Source:Julius Mtatiro
 
Daraja watu wanashangilia kitu ambacho hakina impact yeyeto hasa kwa uchumi WA nchi. Kama tumejenga Daraja Kama kivutio cha utalii is Ok lakini kujenga Daraja sawa na kujenga barabara ya kuunganisha wilaya ya Sengerema na Mwanza. Nchi hii tumefika Hapa kwa ajili watu wanashangilia vitu visivyo na umuhimu wowote Licha ya mipango mingine kuigharimu Tanzania mabilioni ya shilingi.
Naweza nikashangilia Ujenzi WA flyover lakini si Ujenzi WA Daraja la Kigamboni.
 
Sawa mkuu
 
sisi wakazi wa kigamboni na wakazi wa dsm wanaokwenda kigambon kuna impact kubwa ambayo ni kupunguza muda wa safari kwa kiwango kikubwa ambapo wenye magar wanakaa mda mrefu ferry kusubir kivuko.
 

hujitambui ww
 
Mwenye uelewa anijuze, hilo daraja sio kizuizi cha meli kweli? Zinapitaje hadi kufika bandarini?
 
watu kama nyie mlipaswa muwe na visiwa vyenu vya kuishi
 
sisi wakazi wa kigamboni na wakazi wa dsm wanaokwenda kigambon kuna impact kubwa ambayo ni kupunguza muda wa safari kwa kiwango kikubwa ambapo wenye magar wanakaa mda mrefu ferry kusubir kivuko.
Hajielewi...yeye anakaa gongo la mboto ndio maana haoni umuhimu
 
Hivi ni mara ngapi vivuko vimekaribia kuua maelfu hapo Kigamboni..hilo hulioni..
 

UTAKUWA WA MKOA WEWE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…