Dar Yaongoza Ndoa Kuvunjika

It's true...!! Hapa kwenye uchumi ni facts kubwa sanaa...
 
Ndoa zina mitihani.
Mimi na mke wangu tulifuata taratibu zote za ndoa.Isitoshe sisi ni waumini wazuri sana, na tunamwamini Mungu , lakini changamoto hazikosi. Hali ilikuwa imekuwa mbaya sana mwishowe tulikubaliana tufunge ndoa upya! Hivyo tukazika tofauti zetu na kuanza upya.
 

Bro nakubali kinoma nyuzi zako miaka ya kobe kwako
 
95% ya wanaume wa Darisalama hawana nguvu za kiume kutokana na lifestyle zao na vyakula wanavyokula.
Unategemea ndoa zidumu kweli??
Kwa hiyo hao wavunja-ndoa wanaenda kuchepukia hukoo mikoani penye supposedly nguvu nyingi za kiume!???
 
Exactly. Namna mlivyoingia ndivyo mtakavyotoka, ama lazima tu mtatokea mlango mlioingilia.
 
Kuna mtu aliwahi niambia naolewa ili watoto wangu nitakao wazaa wapate malezi ya pande zote mbili..ila huyu mwanaume sijui kama nitakuja kumpenda...nikabaki🙄🙄
 
Kutomtanguliza Mungu n 7bu mojawapo
Jambo lolote bila MUNGU matokeo yake n hasara, hata biashara pia.
People wamemtelekeza Mungu mwenye gundi ya upendo inayounganisha ndoa na kuishikilia pamoja familia na jamii, then all of a sudden wanategemea ndoa iji-sort out yenyewe!??? Futile, fruitless and pathetic!
 
Kuna mtu aliwahi niambia naolewa ili watoto wangu nitakao wazaa wapate malezi ya pande zote mbili..ila huyu mwanaume sijui kama nitakuja kumpenda...nikabaki[emoji849][emoji849]
So, mpaka anakaribia kuolewa upendo bado ulikuwa ungali unakuja hukoooo mbeleni, siyo!??? Hatare na robo.
 
1.Moja social media -----+> unakuta mtandao unakuwa kitu cha kumliwaz mwanandoa kinyume kabisa na ndoa inavyotak

2.Mbili laana inayopatikan kanisan Wanandoa wanapofunga ndoa kwan unakuta wengi wao wameshazin ambavyo nikinyume na misingi yaa ndoa Koo baraka ya ndoa inakua laan

3. Hekima ya ndoa hakun kizaz cha hiv karibun Kila mmoja ni mjuaji
 
Husemi uongo ,mi 5 tena mpaka kueleweke
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…