Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 23,261
- 28,422
Yapi, unadanganywa kama katoto kadogo huku wanaokudanganya wakiiba mamilioni.Acheni kauli zenu za uchungu. Kwani mangapi ccm inaendelea kuyafanya? Ina maana hamuyaoni. Mbona inafanya makubwa tu