Range rover
Senior Member
- Nov 22, 2016
- 186
- 199
Hiyo imetulia sana!Hellow members
Nipo Kibaha nnadrive kwenda mwanza njia sizijui vizuri hivi nikipitia arusha si itakuwa poa, coz nna cruise 150 km/hr.
Naombeni ushauri
Pitia TangaHellow members
Nipo Kibaha nnadrive kwenda mwanza njia sizijui vizuri hivi nikipitia arusha si itakuwa poa, coz nna cruise 150 km/hr.
Naombeni ushauri
nimekwambia naenda mwanza kiongozi hunielewi???Pitia ya mtwara utokee songea then makambako,mbeya,makongorosi,lupa,kambikatoto,itigi,manyoni.....
bora hii kidogo afadhali.Pitiaa hiyo njiaView attachment 1277955View attachment 1277956
halafu hiyo avatar yako nikitoka mwanza hii range nakuachia nimeanza kuteseka.Ahaaaa
we si umetukaribisha Jiji la Sato ndio nakuja hivo.Pitia Tanga
Hellow members
Nipo Kibaha nnadrive kwenda mwanza njia sizijui vizuri hivi nikipitia arusha si itakuwa poa, coz nna cruise 150 km/hr.
Naombeni ushauri
Nimewah kupita njia ya chunya na Sasebosa nilipata tabu sana maana wasukuma walikuwa wanapanda na kuku mulePitia ya mtwara utokee songea then makambako,mbeya,makongorosi,lupa,kambikatoto,itigi,manyoni.....
Mkuu ukienda Airport DIA, Mwanza unaiona ndani ya saa moja na nusu.Hellow members
Nipo Kibaha nnadrive kwenda mwanza njia sizijui vizuri hivi nikipitia arusha si itakuwa poa, coz nna cruise 150 km/hr.
Naombeni ushauri
nna drive nataka ni enjoy mandhari ya Hii nchi, hapa nimeshapark Nipo singida sasahivi.Safari itaendelea kesho.Mkuu ukienda Airport DIA, Mwanza unaiona ndani ya saa moja na nusu.