Dar RC dead right: Parking space auction marts an exploitative nuisance

Hii maana yake ni nini? Hebu tufafanulie kidogo mimi sikuokota kitu hapo.

Tiba
 
Safi Sana,wamezidi kunyanyasa watu,wale jamaa wanavyodai pesa ya maegesho kwa kuudhi kweli,unavutaje kwa breakdown gari ya mtu ambayo inatembea?,jiji wanashindwaje kufanya kazi hii? au ndo mipango?...bravo mkuu wa mkoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…