Mikopo Chefuchefu
JF-Expert Member
- May 15, 2017
- 3,373
- 6,807
Uwanja wa Njombe ni mfupi sana. Inafaa uwe na ndege ndogo kuweza kutua pale.Precision inaenda Njombe au ilikodiwa? Si dhani kama kuna uwanja wa kutua ndege za abiria Njombe labda Iringa nako ni hivi majuzi ndio wamepeleka Bombadia
Mwakajinga ulisoma bandiko langu lakini vizuri kama hujamsapoti huyo jamaa uliyemsapoti?
Asante lakini kwa taarifa
Ipo mkuu ziwa nyasa.....Meli na Jahazi hamna Hahahah
ndio yeye mkuu asante kwa kumtambuaMkuu wewe ulikua Commissioner General wa TRA?
IRINGA.........Kapotoka kidgoPrecision hawafiki Njombe kuwa makini
Iringa mkuu sio Njombe.....Njombe kwa uwanja upi mkuu...?Basi kati ya fast jet au precision moja wapo ya hizo...nina mdau alipanda,tena ndio walikua wanafungua route,ilikua offer
Tarehe 5 Mei 2019 nilipanda Njombe Express kwa shilingi 30,000.Mara ya mwisho kwenda huko mkuu Kambaku (ng'ombe dume ) gari nzuri ilikuwa Nyagawa,Otta high class,Galaxy na Njombe express au New force(Golden deer) na super feo zinazoenda hadi songea na mbiga nauli ikiwa 25000 mpaka 30000 tu mpaka njombe mjini
Mkuu toka lini? mimi nilikwenda huko ila nilishuka Iringa nikaenda kwa basi mpaka Ludewa huko..IRINGA.........Kapotoka kidgo
Jamani waungwana kwa anaejua nauli ya Dar to Njombe Kwa sasa imefika ngapi jamani. Kwa basi.
Wenu mtiifu,
Kambaku
Boss kwani mbona nimeandika kabisa kwa Basi?
Hata Treni hakuna!!Precision inaenda Njombe au ilikodiwa? Si dhani kama kuna uwanja wa kutua ndege za abiria Njombe labda Iringa nako ni hivi majuzi ndio wamepeleka Bombadia
Nadhani hii itakuwa sahihi zaidi kulingana na wakatiTarehe 5 Mei 2019 nilipanda Njombe Express kwa shilingi 30,000.
Kumbe njomb Kuna wanajf vizurKaribu Njombe kamishna...