Hiyo tabia ya chenji ipo mikoani,nilienda kigoma kasulu nilitoa elfu 10 nataka vocha ya buku mwenye duka akaniambia hana chenji na apo kijijini duka wanalo uza vocha ni ilo tu,nikamwambia niongezee vocha ya elfu 3 jumla iwe elfu 4 napo akasema chenji hakuna,ikabidi niimalize elfu 10 yote kwa kununua vitu ambavyo sijaviweka ktk bajeti.