Dar: Mwalimu wa Madrasa ahukumiwa kwenda Jela Miaka 20 kwa kosa la kumwambia Mwanafunzi amnyonye sehemu za siri

Dar: Mwalimu wa Madrasa ahukumiwa kwenda Jela Miaka 20 kwa kosa la kumwambia Mwanafunzi amnyonye sehemu za siri

Mhaya

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2023
Posts
2,563
Reaction score
7,321
Mahakama ya Wilaya Temeke Mkoa wa Dar es Salaam, Mei 29, 2025 imetoa hukumu ya kifungo cha miaka 20 jela kwa mtuhumiwa Dotto Adinani Makando mwenye umri wa Miaka 34, Mkazi wa Yombo Kilakala baada ya kupatikana na hatia ya kosa la shambulio la aibu ambapo alimfanyia mwanafunzi wake wa kiume mwenye umri wa miaka 14.

Mnamo Januari, 2025 kwa nyakati tofauti majira ya usiku Mtuhumiwa ambaye ni mwalimu wa madrasa alikuwa anamwambia kijana huyo amnyonye uume wake, mpaka atakapotoa manii ayameze na kisha kumruhusu aondoke nyumbani.

Ilielezwa Mahakamani kuwa muda wa kutoka madrasa ukifika Mtuhumiwa alikuwa anawaruhusu wanafunzi wengine kutoka madrasa majira ya usiku na kumuamuru kijana huyo abakie ili amnyonye uume wake na humtishia kwamba endapo ataondoka atampa adhabu ya viboko.

Akisoma hukumu hiyo Mhe. Catherine Madili amesema kuwa Mahakama imeridhika na ushahidi uliowasilishwa Mahakamani hapo ambao pasi na shaka umeweza kumuunganisha mtuhumiwa kutenda kosa hilo.
Screenshot 2025-06-02 105458.jpg
 
Haya ndio mambo huwa tunayasema hapa kila siku. Hapo ukichunguza huyo dogo ni mtoto single mother na huyo mwalimu amelelewa na single mother au baba dhaifu.

Culture ya kiume huwa haitoi watoto dhaifu namna hii.
 
Uislamu ni laana, ukiwa muislamu umelaaniwa na Mungu.

Uchangiaji wako unadhihirisha uwezo wako mdogo wa kufikiri...
Namaanisha ungekuwa na ufaulu hata wa D mbili ungekuwa na maarifa ya kuweza kung'amua kuwa, kosa alilofanya ni nikosa binafsi na wala sio maelekezo/mafundisho ya dini yake!
 
Back
Top Bottom