Inategemea unapitia miji gani! Utokapo Dar kwenda Mwanza kama utapita Morogoro, Dodoma nk na kurudi ukapita humohumo urefu utakuwa sawa. Ijumaa mpaka Jumatatu unapita Jumamosi, Jumapili nk na kurudi anzia Jumatatu pita Jumapili, Jumamosi nk umbali utakuwa sawa!