figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 27,638
- 62,539
Moto unawaka katika duka maeneo ya Rangi 3 Mbagala kwenye kona ya kuelekea Charambe.
Watu wanaendelea na Juhudi za kuuzima moto huo na kuokoa mali sambamba na kuzuia usisambae kwenye maduka mengine.
Taarifa za awali zinaeleza kuwa chanzo cha moto huo ni hitilafu ya umeme.
Juhudi za kuuzima moto huo na kuokoa mali sambamba na kuzuia usisambae kwenye maduka mengine zinaendelea.
Pia soma: Soko la Kariakoo lateketea kwa moto