DAR: Manispaa ya Kinondoni yabaini watumishi hewa 100

RUCCI

JF-Expert Member
Oct 6, 2011
1,701
1,714


Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam imebaini uwepo wa wafanyakazi hewa 100.

Sekta za afya na elimu zinaongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya wafanyakazi hewa.

Hadi sasa zaidi ya million 90 zimeanza kurejeshwa na baadhi ya watumishi hewa 15.
 
Halafu wakirudisha ina maana wao waliorudisha na wale waliowasaidia kupata hizo hela wanaachwa?, au sijaelewa vizuri, nchi hii bana
 
Hewa Ni Mradi Wa Ccm Huwezi Kusema Vingine Miaka Yote Wanahaha Na Vijembe Kazi Na Mambo Muhimu Hakuna
 
Hao hewa wanarudishaje sasa? Mtufafanulie jaman.mngetuambia wale walio kula mishahara ya watumish hewa ingeeleweka
 
Ningeshangaa DAR kuto ongoza kwa Watumishi HEWA? Nadhani sasa DAR itakuwa mbele ya Mwanza. Dar ina taasisi nyingi za umma, wakitoka hapo Wa ingie Wizara na taasisi zote zilizopo Dar , kuanzia TPA, TRL, DAWASCO, EWURA, TANESCO, TPDC, TBC, NHC, UDSM, nk.

Dar inaongoza kwa uozo wa aina yoyote unao ufahamu: Makahaba, wizi, Jam, uchafu, watumishi hewa, kwa wanaume waoga ndio usiseme.
 
Back
Top Bottom