Bujibuji Simba Nyamaume Platinum Member Joined Feb 4, 2009 Posts 78,144 Reaction score 166,082 Mar 4, 2010 #1 Nimekuwa msomaji mzuri wa gazeti hili mtandaoni. Lakini cha kustaajabisha ni kwamba tangu tarehe 18-02-2010 hamja update website yenu. Kulikoni, mbona mnatutisha? Semeni tatizo ni nini ili tujue cha kufanya.
Nimekuwa msomaji mzuri wa gazeti hili mtandaoni. Lakini cha kustaajabisha ni kwamba tangu tarehe 18-02-2010 hamja update website yenu. Kulikoni, mbona mnatutisha? Semeni tatizo ni nini ili tujue cha kufanya.
Bujibuji Simba Nyamaume Platinum Member Joined Feb 4, 2009 Posts 78,144 Reaction score 166,082 Mar 4, 2010 Thread starter #2 http://darleo.co.tz/
upele JF-Expert Member Joined Mar 3, 2010 Posts 364 Reaction score 31 Mar 4, 2010 #3 tulia haraka haifai weye uoni jinsi gani tz tunavo zubaa hata hapo upo
M-bongotz JF-Expert Member Joined Jan 7, 2010 Posts 1,736 Reaction score 411 Mar 4, 2010 #4 Labda mauzo yameshuka sasa wanataka wasomaji kama wewe wa online muanze kununua hard copies.
Bujibuji Simba Nyamaume Platinum Member Joined Feb 4, 2009 Posts 78,144 Reaction score 166,082 Mar 4, 2010 Thread starter #5 Huwa nanunua hard copies pia kwa jili ya kuweka kwenye library yangu.
Invisible Robot Joined Feb 26, 2006 Posts 16,285 Reaction score 8,464 Mar 4, 2010 #6 Bujibuji said: http://darleo.co.tz/ Click to expand... Ina virus!