Mkuu uko vema ila inashauriwa kwa safar ndefu uszime gar mara moja iache silence kwanza for 15 au 10min ndio uzime ili kufanya cooling taratibu kwani block huwa ina expand, so kwa kuiweka silence inakua bora zaidi kuliko kuzima mara moja na hii haijalishi iwe diesel au petrol engine.Kama umeamua kuipumzisha gari izime kabisa. Usiweke silence. Gari ukiiweka silence (idle) hujaipumzisha bado, engine bado inaendelea kuwa moto na tena kama umepiga nayo safari ndio kabisa inaendelea kuwa moto haipoi. Kumbuka, unapokuwa njiani, sio maji tu ndio yanapoza mashine, ule upepo unaopiga kwenye radiator na engine kwa ujumla unasaidia sana tena sana kupoza mashine ndio maana ukikaa silence mda mrefu unaona feni zinazunguka. ila kama upo kwenye mwendo, hutozisikia zikizunguka kwa sababu tayari upepo wa kutosha upo
Hahhaaa... Kwahiyo anataka atie heshima kijijini kwao?Watajuaje ana gari?
Ishu ni kuwa engine haiwi cooled ukiweka silence. inaendelea kupata moto. kawaida cooling system inaiweka gari kwenye operating temperature. Yaani ukitizama gauge ya temperature inatakiwa ikae kati kati ndio normal operating temp.Mkuu uko vema ila inashauriwa kwa safar ndefu uszime gar mara moja iache silence kwanza for 15 au 10min ndio uzime ili kufanya cooling taratibu kwani block huwa ina expand, so kwa kuiweka silence inakua bora zaidi kuliko kuzima mara moja na hii haijalishi iwe diesel au petrol engine.
Hasa MAJINJA ile VOLVO ni mashine mzeeUkiwaona kina majinjah na new force na dar lux wanakimbizana usiwafwate
No,new force ndio kiboko yao,hana cha kupoteza hata akiwamwagaHasa MAJINJA ile VOLVO ni mashine mzee
Hizo New force kuna Majinja ile Volvo namba siikumbuki hakuna anayefuata hapo hiyo haina mlima wala nini kazi kaziNo boss,new force.
Nishaendesha new force najua ninachokisemaHizo New force kuna Majinja ile Volvo namba siikumbuki hakuna anayefuata hapo hiyo haina mlima wala nini kazi kazi
Duuh aiseeMkuu hakikisha unabeba baiskeli au boda kwenye buti
Mzee hiyo Majinja inaenda Sumbawanga hakuna anayofuata lazima iwe mbele kila day mzee halafu niliwahi kukutana nayo wakati mimi natoka Mbeya(nipo na Golden deer)ilikua nyuma lakini ilituacha kwenye kilima sikuamini hatukuiona tena....pia nimekaa mafinga karibu wiki mbili lazima ianze kupita hiyo halafu ndo anapita Jaja (tunduma)na linyama hiyo mashine ni shida boiNo,new force ndio kiboko yao,hana cha kupoteza hata akiwamwagaView attachment 1138207
Sawa boss ila nimeongea nilichokiona kaka anyway labda ujanja kuwahi ila mara nyingi kwa za sumbawanga yeye huwa anawahiNishaendesha new force najua ninachokisema
Ila siku kaka hakuna raha kabisa ligi hamna tena speed 80 raha ya bus ligi....kufa hata kama sio kwenye ajali tutakufaNishaendesha new force najua ninachokisema
Fala kweli wwWatajuaje ana gari?
Sio basic need mkuu, ni necessity kama ilivyo simu, hela na internet.Ndio akili yako ilipoishia,...ndio nyinyi mpaka leo mnaona kuwa na gari ni ufahari....wakati nowadays gari ni basic need,na unaamua kuwa na gari ili ikurahisishie maisha,....ubovu watanzania tunaona sifa kuwa masikini.....,sasa ka gari kama haka ka passo ambako mtu yeyote akijipanga ananunua wewe kichwani mwako unawaza ufahari.,....tujifunze kuficha upumbavu wetu kwa kukaa kimya....!
Dah, point tupu! Umeongea kweli mkuu.Kwani usifike??
Ukiachana na mambo ya service pia jitahidi na ni muhimu kuzingatia hili
1.usiende zaidi ya speed 100
2.jitahidi kupumzisha mashine kila baada ya km 120
3.usifanye na league na akina Subaru utapasua block
4.kama gari yako unatumia maji Kwenye rejeta mwaga maji yote na uanze kutumia coolant itasaidia Sana kupoza engine ya gari yako
5.kama sio mzoefu wa Safar ndefu usitembee usiku Mkuu hii ni muhimu Sana Kwa maisha yako pia usitembeze gari ukiwa alone
Ndo wanaotusumbua hata huku mtaani, mnyamazie asije akakutoa kwenye mada.Ndio akili yako ilipoishia,...ndio nyinyi mpaka leo mnaona kuwa na gari ni ufahari....wakati nowadays gari ni basic need,na unaamua kuwa na gari ili ikurahisishie maisha,....ubovu watanzania tunaona sifa kuwa masikini.....,sasa ka gari kama haka ka passo ambako mtu yeyote akijipanga ananunua wewe kichwani mwako unawaza ufahari.,....tujifunze kuficha upumbavu wetu kwa kukaa kimya....!
Nimekupenda bure mkuu, nipo karibu kununua kigari changu cha kuendea job. Nitakutafuta unipe elimu hata kwa gharama.asante mkuu na wewe pia ubarikiwe.
Wengi wanafikiri kuendesha gari ni kuweka gia na kuondoka tu. wanasahau kuwa kuelewa engine inafanya kazi vipi ni muhimu sana tena.