INAUZWA Dar Kimara: Guest House Vyumba 10 Kwa Mil. 100 Tu

INAUZWA Dar Kimara: Guest House Vyumba 10 Kwa Mil. 100 Tu

Kasri Homes Tz

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2016
Posts
514
Reaction score
697
> Kimara Kona. Mwendo wa dakika 5 kwa miguu kutoka Morogoro Road
> Imefanyiwa ukarabati. Samani zimo
> Vyumba 10 vyote selfu; kaunta; chumba cha watumishi; public w/c nje
> Full ac, madirisha aluminiam, paving, uzio, parking
> Sqm +500
> Hati ya wizara
> TZS milioni 100
> Kwenda Site TZS 30,000
.
#InRealEstateWeConnect
☎💬:
+255 767 157788
Mitandaoni:
@kasrihomestz
 

Attachments

  • Vid_GHouse_Kimara.mp4
    14.1 MB
Nilihesabu dakika wakati natembea. Zilikuwa dakaki 5.
Na wewe nisaidie kubadili dakika kwenda umbali kwa hatua za mtu mzima
Kimara japo kuna nyumba nzuri lakini ni mwendo wa vichochoro, na hakuna mpangilio, unaweza kujiona umetembea muda lakini uko pale pale
1753990949058.png
 
Back
Top Bottom