Dar ilikua zamani.

Truths

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2017
Posts
1,494
Reaction score
1,505
Zamani ilikua ukimueleza MTU umetoka Bongo, ilikua ujanja kweli.

Maeneo kama Masaki yalikua yanaonekana ya Maana sana.
Leo hii pamekua pa kawaida sana kama sehemu nyingine za nchi.

Sikuhizi hata mikoani kuna Tarmac, Stima, Maji ya Bomba.
Nyumba za Being Mbaya, Magari Mazuri.

Dar imekaa kitandale sana.
Kwa mfano, Ukipita Mikocheni ni kawaida kusikia Harufu Ya ma.vi, kutokana na Maji ya mfereji kuchanganyika na Maji taka.
Ngoja mkuu wa Dar awaboreshe zaidi.
Na kuna wakubwa wanakula tu upepo kama vile ni sehemu maalumu ya kumwagia maji taka.

Nina rafiki yangu alikuja Dar Mara ya kwanza alishangaa kuona mji alioaminishwa ni pepo kuuona umejaa vurugu.





Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dar mji mkubwa huu. sehemu utazoziona zina tegemeana na kipato chako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…