M Makupa JF-Expert Member Joined Apr 11, 2011 Posts 7,235 Reaction score 4,342 Apr 11, 2012 #1 Wana jf mlioko maofisini msitoke muda huu kuna foleni ambayo kimsingi ni kwamba hakuna gari inasogea
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,920 Apr 11, 2012 #2 barabara zote?
King Kong III JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 60,433 Reaction score 88,774 Apr 11, 2012 #3 Acha masikhara sasa tutoke saa ngapi?
M Makupa JF-Expert Member Joined Apr 11, 2011 Posts 7,235 Reaction score 4,342 Apr 11, 2012 Thread starter #4 Katavi said: barabara zote? Click to expand... Ni zote mkuu
M Makupa JF-Expert Member Joined Apr 11, 2011 Posts 7,235 Reaction score 4,342 Apr 11, 2012 Thread starter #5 King Kong III said: Acha masikhara sasa tutoke saa ngapi? Click to expand... Toka sasa kama hutamaliza hako ka petrol kwenye gari Mkuu
King Kong III said: Acha masikhara sasa tutoke saa ngapi? Click to expand... Toka sasa kama hutamaliza hako ka petrol kwenye gari Mkuu
U Ugweno Member Joined Feb 21, 2011 Posts 48 Reaction score 9 Apr 11, 2012 #6 Natumaini itajivuta vuta mpaka Jollies angalua nipate Castle Light baaaaarrrrrrrriiidi:heh:
Yummy JF-Expert Member Joined Sep 26, 2011 Posts 1,796 Reaction score 1,337 Apr 11, 2012 #7 Ugweno said: Natumaini itajivuta vuta mpaka Jollies angalua nipate Castle Light baaaaarrrrrrrriiidi:heh: Click to expand... Karibu sana tujumuike
Ugweno said: Natumaini itajivuta vuta mpaka Jollies angalua nipate Castle Light baaaaarrrrrrrriiidi:heh: Click to expand... Karibu sana tujumuike
Ibrah JF-Expert Member Joined Mar 22, 2007 Posts 2,730 Reaction score 536 Apr 11, 2012 #8 Makupa said: Wana jf mlioko maofisini msitoke muda huu kuna foleni ambayo kimsingi ni kwamba hakuna gari inasogea Click to expand... Inawezekana watu wa Kigamboni hawataki kuvusha magari kwenye kivuko kwa hofu ya Tsunami na wanaopita Old Bagamoyo Rd nao pia wanakwepa hiyo barabara.
Makupa said: Wana jf mlioko maofisini msitoke muda huu kuna foleni ambayo kimsingi ni kwamba hakuna gari inasogea Click to expand... Inawezekana watu wa Kigamboni hawataki kuvusha magari kwenye kivuko kwa hofu ya Tsunami na wanaopita Old Bagamoyo Rd nao pia wanakwepa hiyo barabara.
Mzee wa Rula JF-Expert Member Joined Oct 6, 2010 Posts 8,169 Reaction score 3,358 Apr 11, 2012 #9 Katavi said: barabara zote? Click to expand... Swali la msingi sana hilo.
Ngoromiko JF-Expert Member Joined Sep 15, 2011 Posts 554 Reaction score 175 Apr 11, 2012 #10 Unawaambia wasitoke ofisini saa hizi wakati wewe unasepa.....unataka wenzako wakutwe na Tsunami? Labda ungewashauri waache magari yao wapige mguu hadi Ubungo watafute usafiri wa Moro.
Unawaambia wasitoke ofisini saa hizi wakati wewe unasepa.....unataka wenzako wakutwe na Tsunami? Labda ungewashauri waache magari yao wapige mguu hadi Ubungo watafute usafiri wa Moro.
RasJah JF-Expert Member Joined Nov 5, 2009 Posts 703 Reaction score 64 Apr 11, 2012 #11 Mnakuja Gongomboto msije kabisaaa foleni imeanzia tazara hadi banana... updates
doup JF-Expert Member Joined Feb 26, 2009 Posts 2,718 Reaction score 2,898 Apr 11, 2012 #12 Ngalangala said: Mnakuja Gongomboto msije kabisaaa foleni imeanzia tazara hadi banana... updates Click to expand... Niko mitaa ya amikocheni, natakiwa nije mitaa hiyo duh! nouuuma!
Ngalangala said: Mnakuja Gongomboto msije kabisaaa foleni imeanzia tazara hadi banana... updates Click to expand... Niko mitaa ya amikocheni, natakiwa nije mitaa hiyo duh! nouuuma!
M msua msua Member Joined Apr 10, 2012 Posts 11 Reaction score 0 Apr 11, 2012 #13 Me nipo kwenye foleni tangu saa kumi mpaka sasa sijafika naelekea posta njaa nimechoka balaa tupu hii miundo mbinu yetu hii eti miaka 50 ya uhuru
Me nipo kwenye foleni tangu saa kumi mpaka sasa sijafika naelekea posta njaa nimechoka balaa tupu hii miundo mbinu yetu hii eti miaka 50 ya uhuru
Kamkuki JF-Expert Member Joined Feb 1, 2011 Posts 1,956 Reaction score 1,428 Apr 11, 2012 #14 Bora mie sijatoka kwa leo, ila poleni mliokumbwa na dhahama hiyo!