barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,405
- 29,811
Huu ni uharo wa bata sasa, wewe unajiwela kundi gani kwa comment hii.Poa, kwa kweli sio rahisi kupata Watanzania 'asili' wenye kupanga mada jinsi ufanyavyo, yaani kupata Mtanzania ambaye hajachakachuliwa, hajasomea nje ya nchi halafu awe na uwezo huo.
Ni kweli nchi zetu hizi zinapiga hatua, na ifahamike kadiri Tanzania inapaa, ndivyo na Kenya inatoweka. Wakiamka leo waasisi wetu kutoka makaburini watashangaa na kuomba bora wazidi kuendelea kufa huko waliko.
Kenya ya leo sio ya hapo awali, tumefaulu kuthubutu, hata uwekezaji wetu nje ya nchi hususan ndani ya Tanzania umeongezeka maradufu.
Tanzania hata kama mnaendelea, lakini binafsi huwa nahisi bado mpo too slow, kila nikija Bongo na kuona fursa za uwekezaji zilizopo huwa nabaki kuwashangaa mbona mpo mpo tu na hamzichangamkii. Hiyo Mwanza unayotaja leo, nimesema mara nyingi kwamba ina uwezo wa kuwa mji mkubwa zaidi ya miji yote Afrika maana imebahatika kupachikwa katikati ya mataifa ya Kenya, Uganda, Tanzania, Rwanda na Burundi kiasi kwamba mkiamka toka kwenye usingizi, mnaweza kufanya huo mji kuwa kitovu cha hizo nchi zote. Lakini leo hii naona mnakurupuka mara uwanja wa kimataifa Chato mara huku mara kule, hamjakaa na kuandika mikakati ya nchi.
Poa, kwa kweli sio rahisi kupata Watanzania 'asili' wenye kupanga mada jinsi ufanyavyo, yaani kupata Mtanzania ambaye hajachakachuliwa, hajasomea nje ya nchi halafu awe na uwezo huo.
Ni kweli nchi zetu hizi zinapiga hatua, na ifahamike kadiri Tanzania inapaa, ndivyo na Kenya inatoweka. Wakiamka leo waasisi wetu kutoka makaburini watashangaa na kuomba bora wazidi kuendelea kufa huko waliko.
Kenya ya leo sio ya hapo awali, tumefaulu kuthubutu, hata uwekezaji wetu nje ya nchi hususan ndani ya Tanzania umeongezeka maradufu.
Tanzania hata kama mnaendelea, lakini binafsi huwa nahisi bado mpo too slow, kila nikija Bongo na kuona fursa za uwekezaji zilizopo huwa nabaki kuwashangaa mbona mpo mpo tu na hamzichangamkii. Hiyo Mwanza unayotaja leo, nimesema mara nyingi kwamba ina uwezo wa kuwa mji mkubwa zaidi ya miji yote Afrika maana imebahatika kupachikwa katikati ya mataifa ya Kenya, Uganda, Tanzania, Rwanda na Burundi kiasi kwamba mkiamka toka kwenye usingizi, mnaweza kufanya huo mji kuwa kitovu cha hizo nchi zote. Lakini leo hii naona mnakurupuka mara uwanja wa kimataifa Chato mara huku mara kule, hamjakaa na kuandika mikakati ya nchi.
Haya, sasa comment Na hii basi, Mombasa road, 35km of serous business, one of my favourite highways..Helping Hands in Nairobi
Jiji la Nairobi chini kwa chini kuona hekaheka na mishemishe za mchanganyiko wa kila aina katikati ya jiji kubwa Kenya hali ya usafiri, je wana treni za chini ya ardhi za mjini, waenda kwa miguu kukosa mpangilio salama wa matumizi sahihi ya barabara, karaha za kutokuwa na traffic lights za kutosha za barabarani, utitiri wa round abouts katikati ya mji, vioski, maghorofa chakavu yenye kuhitaji rangi/usafi/ukarabati n.k
Haya, sasa comment Na hii basi, Mombasa road, 35km of serous business, one of my favourite highways..
Lakini bahari haipo dar peke yake. So sio kwamba ni kigezo cha maendeleoSasa bahari ndo utofauti wenyewe... Dar inaweza kuwa na kila ambacho Nairobi inacho. Ila Nairobi haiwezi kuwa na kila ambacho Dar inacho.
Ahahaaaa hakiumi kama kipo. Tuupende kuusikia ukweli jamani.Kitufe cha "dislike" kinakuhusu.
Sasa bahari ndo utofauti wenyewe... Dar inaweza kuwa na kila ambacho Nairobi inacho. Ila Nairobi haiwezi kuwa na kila ambacho Dar inacho.
Acha maneno weka drone video.Lakini bahari haipo dar peke yake. So sio kwamba ni kigezo cha maendeleo
Darasaaaaaaaaaaaa!!!!!i've never been to nairobi hivyo,judgement yangu ni kutokana na drones videos
1. skyline
dar skyline is more denser than nairobi yaani nairobi ina spaces nyingi sana kuliko dar hivyo,kwenye videos ni kama dar ina majengo mengi ingawa hayajapangiliwa ama kubuniwa vyema for a modern city compared to nai.
2. infrastructures
hapa nairobi imeipiga dar si kwa barabara ama city parks, nairobi imekua juu kwa hili na ndio maana ulitaka kulidhihirisha hili kwa kutupia video ya pili ingawa haijalionesha jiji vizuri kama ile iliyotangulia.
3.Growth
hapa ukiangalia katika videos utaona dar kuna majengo mengi ambayo hayajaisha na mengine yakijengwa ukilinganisha na Nai hivyo, nai ifunge mkanda ikaze na kamba ama ifate nyayo ichane msamba, ifunge mkanda ipasue anga, dar tunasemaga chambua kama karanga ( sorry nina darassa muziki fever)
Haya, sasa comment Na hii basi, Mombasa road, 35km of serous business, one of my favourite highways..
Matusi ya nini sasa?lets not have short memories bro! lets keep away from threads started by these bongolalas whose aim is seeking orgasm kick!!!