Dar es Salaam (Tz) Vs Nairobi (Kny)

Nairobi napendaga tu pale carnival club!!
 
Umesahau hii mkuu...Dar Es Salaam kuna wanawake wazuri weupe kama waarabu Nairobi wanawake weusi kuona mwanamke mweupe ni sawa na kuokota almasi

Weupe wakujichubua ama
 
DON SINYORI, kuhusu hilo suala la maji, sio sahihi kabisa, labda mahala hapo ulimokuwa kulikuwa na tatizo flani, but in most parts of Nairobi, 24/7 water supply is assured. Ati once a week? That's very serious!

There is no water rationing on.
 
Umesahau hii mkuu...Dar Es Salaam kuna wanawake wazuri weupe kama waarabu Nairobi wanawake weusi kuona mwanamke mweupe ni sawa na kuokota almasi
Iv! wanawake wazuri ni wanawake weupe'eh! Na hao maji ya kunde na weusi wote wabaya?
Kumbe hauwajui vizuri wanawake wazuri wewe.
 
Umesahau hii mkuu...Dar Es Salaam kuna wanawake wazuri weupe kama waarabu Nairobi wanawake weusi kuona mwanamke mweupe ni sawa na kuokota almasi

you are insulting yourself. what you are suffering from is called an inferiority complex. it is shocking that 50 years after independence, black africans still believe white is superior to black. no wonder it is said africans attained independence but their minds are still deeply colonized. that is why africa remains the most backward continent on earth to this day.
 
Tupe taarifa ya population kwa kila jiji..
 
Nasikia madem wa huko Nairobi sura zao kavu kama ndunda alafu wanawatandika kishenzi wanaume zao.Alafu nasikia yule gavana wa Nairobi ni punga na party za mashoga nje nje
 
Nasikia madem wa huko Nairobi sura zao kavu kama ndunda alafu wanawatandika kishenzi wanaume zao.Alafu nasikia yule gavana wa Nairobi ni punga na party za mashoga nje nje

like i said you are insulting yourself, your mother and your grandmother. you think wewe ni mzungu? lmao.
 
nairobee kwa wajanja tunakula vya kwetu pole pole...nipo hapa sankara westlands nashusha mbili tatu..
 
DON SINYORI, kuhusu hilo suala la maji, sio sahihi kabisa, labda mahala hapo ulimokuwa kulikuwa na tatizo flani, but in most parts of Nairobi, 24/7 water supply is assured. Ati once a week? That's very serious!

There is no water rationing on.
Acha uongo nilikuwa nairobi juzi south C hakuna maji, na kama kutoka wanasema yanatoka usiku sana around saa nane au tisa usiku basiii
 
Hehehe!! Hapo sitakawia kuchangamkia hiyo fursa....

Mleta mada amejaribu kuwa balanced na kuanika ukweli kwenye mambo mengi. Japo hilo la matatizo ya maji sina uhakika nalo maana maeneno ninayoishi maji ni ya uhakika muda wote. Labda maeneo mengine.
Ukitaka kujua maji ni Shida, ishi jimbo la Ubungo na Kibamba uone.
 
How about music umesahaua kucompare apo?
 
Life style ya Nairobi ni kama ya Arusha ukilinganisha na Dar ni usiku na mchana.

Lifestyle not economy.
 
Dah...hapa kunahitajika utafiti mpya... Mambo yamebadilika sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…