ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,556
Landslide? Kwenye viunga vya Dar no please! Landslides inatokea maeneo ya miinuko
Tayar huku nilipo imetokea
Kama mfano mwanza,kuna siku zile nyumba zilizoko juu zitaslide tu.Landslide? Kwenye viunga vya Dar no please! Landslides inatokea maeneo ya miinuko
Kweli hii ni BRN
Tayar huku nilipo imetokea
Wadau hii mvua ya siku3 non stop imenitisha sana mpaka nawaza isije tokea ardhi ikazidiwa na kiwango cha maji kupita kiasi kama kuna wataalam wa mambo ya geography watueleze kiundani juu ya kwa hili
Landslide na Dar wapi na wapi? Hata maeneo kama ya Makongo juu si maeneo ya kuweza kutokea landslide, labda milima kama ile ya Kisarawe...
Kule Temboni je?
Kama mfano mwanza,kuna siku zile nyumba zilizoko juu zitaslide tu.
Wadau hii mvua ya siku3 non stop imenitisha sana mpaka nawaza isije tokea ardhi ikazidiwa na kiwango cha maji kupita kiasi kama kuna wataalam wa mambo ya geography watueleze kiundani juu ya kwa hili