Maundumula
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 7,550
- 3,092
Aliyekuambia Elimu Ina Maana Tz nani? Angalia mafisadi wote ni wasomi Ww mwenyewe ni mjinga ebu jiulize akiba ya fedha Hazina imekwenda wapi?na Kama unajidai una Elimu hiyo Elimu yako imeleta manufaa gani kwa janga hili? Usijidai Msomi kiswanglish wewe tafakari kwanza ! au wewe ni wale walionufaika na Pesa ya Obama nini?mbona imekuuma?Kama unaona elimu gharama jaribu ujinga make comment yako inaonesha wazi kuwa elimu ya kuchambua mambo hunayo.
Hoja zingine kama za wauza ----- vile hana mbele wala nyuma kazi tunayo na watanzania wa namna hii.
Kama unaona elimu gharama jaribu ujinga make comment yako inaonesha wazi kuwa elimu ya kuchambua mambo hunayo.
Hoja zingine kama za wauza ----- vile hana mbele wala nyuma kazi tunayo na watanzania wa namna hii.
Kwa mapendekezo ya Tume ya katiba mpya wao wanaona kwamba kufuta viti maalum kutasababisha bunge kuwa na Wabunge wanawake wachache sana, hivyo ili kuhakikisha hali hiyo haitokei ndio wamekuja na hilo pendekezo kila jimbo liwe na Wabunge wawili mmoja mwanaume na mwingine mwanamke kwa maana hiyo kuongeza idadi ya Wabunge karibu maradufu ya hawa waliokuwepo katika bunge la sasa, sidhani kama kila mkoa uwe na Wabunge wawili. Ila kama nimekosea ni kila mkoa uwe na Wabunge wawili badala ya kila jimbo basi nitasahihishwa.
Hiyo sheria ipo toka zamani ingawa ilikuwa haitekelezwi. Tofauti ni kwamba hapo awali kila shirika lilipaswa kuchangia 10% ya FAIDA yake kwa mwaka, ikaonekana mashirika mengi yana declare faida kidogo kwa kutumia mbinu za kihasibu (creative accounting or earnings management), ndo maana sasa wameamua kuicharge kwenye MAPATO GHAFI. Angalia repoti za CAG miaka iliyopita. Mashirika kamaTANAPA, EWURA, TCRA n.k yanapata hela nyingi sana, matokeo yake wanaishia kujipangia posho kubwa za vikao vya board na perdiems na safari za nje kibao. Wakati rate za posho za kujikimu za juu serikalini ni 80,000, yapo mashirika wajumbe wake wa board wanalipwa hadi 450,000 per day na bado analipiwa tiketi ya ndege, malazi, chakula na vinywaji. Posho za vikao zinafikia hadi 1,000,000 per sitting. Naunga mkono uamuzi wa serikali
Hii habari ina ukweli wowote?
Mkuu nakubaliana na wewe kwa uchambuzi wako uliotulia ila hapo kwenye nyekundu nachelea kuungana na wewe. Mimi bado naona TRA wamerundikiwa mamlaka mengi mno ya kukusanya kodi ambazo zingeweza kukusanywa na taasisi nyingine kwa ufanisi. Nitoe mifano michacheHoja yako ni ya msingi sana Polisi. Ila nadhani serikali kuyadai mashirika haya michango haitoshi. Wakati umefika sasa kwa serikali kutoa mwongozo juu ya uendeshaji wa mashirkia, taasisi, tume na mamlaka za uma.
Ni kweli taasisi hizi zimepewa autonomy/uhuru unaoziwezesha kujiendesha bila kuingiliwa na serikali kuu. Hii ni pamoja na kuwa na mifumo yake ya mishahara, masurufu n.k. Lakini naona uhuru huu sasa umeanza kutumiwa vibaya. Kama mamlaka imeundwa kisheria kukusanya mapato kama ada n.k bado ada hizo ni mali ya watanzania. Wao ni custodian wa tozo hizo na si wamiliki na hawana sababu ya kujivunia.
Hatuna sababu ya kuwa na watumishi wa uma wenye housing allowance, transport allowance, entertainment allowance, communication allowance, tea allowance na zingine ambazo ni aibu kuzitaja wakati wengine hawana eti kwa sababu wao wanazalisha.Si lazima wote walingane lakini uwiano uwe reasonable. Kama watu wana viwango sawa vya elimu na majukumu yanayolingana wasipishane kimaslahi kwa zaidi ya 30%.Hatuwezi kuwa na double standards kwenye masurufu na mishahara ya watumishi kwa kiwango cha kufuru. Yaani kuna wakurugenzi wana mishahara maradufu ya makatibu wakuu!. This is Bullshit!
Lazima msajili wa hazina aweke mipaka ya viwango vya mishahara ambavyo ni reasonable. Haiwezekani Bsc. Telecom wa TCRA alipwe mara tatu ya yule wa TTCL wakati wote ni watumishi wa uma chini ya wizara moja na actually wote wanaiingizia nchi pesa.
La pili ni kuangalia utendaji wa mashirika hayo. Kuna agency zina wakurugenzi wanasafiri nje kwa wiki tatu katika mwezi. This is too much. Something serious needs to be done here!
La mwisho napendekeza tuirejeshee TRA mamlaka ya kukusanya ada na tozo zote za nchi hii zikiwemo za hayo mashirika kama EWURA na baada ya hapo migawanyo na matumizi vifanyike kama ilivyo kwa serikali kuu. Otherwise tunakosa uhakika wa mapato yetu.
Poleni wote mlioguswa kimaslahi. Mi naipenda nchi yangu. Nothing personal to anyone.