Dar es salaam patamu. Hahhahaaaa

ng'ang'ania ng'ang'anu
 
Daahhh Asee wamekuwa wanyonge kinyama!mjini raha sana
 
Sasa unyonge unahamishiwa Dodoma tena jamani! Sijui itabadilika itakuwa wanaume wa Dom? Kwa kweli waondoke bwana jiji libaki na wafanyabiashara tu! Na hatutapenda kuwaona kila wikend eti wako jijini, wabaki huko huko na mkulu naye awe huko huko akitaka kwenda likizo aanzie hapo hapo Dom kwenda kanda ya ziwa, Dar asitie mguu kabisa, jiji awe analiona tu pale anapokuwa na ziara ya kuja mkoani!! PM anaye asitafute visingizio eti anaenda kusini lazima apite Dar
 
Patamuuuu sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.........
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…