Yes kaacha legacy yake, ngoja tumtazame kwenye uwaziri piaDAB katunyoosha sanaa lakini.
Let's meet at the top, cheers [emoji1635]
Yes, kaacha legacy yake ngoja tumpime ktk uwaziri tena.DAB katunyoosha sanaa lakini.
Let's meet at the top, cheers [emoji1635]
Baada ya hotuba ya Magu kesho msikimbie jukwaakatoka ukuu wa mkoa mpaka kuwa waziri wa mambo ya ndani mtarajiwa.
Kwani Rais alisemaje?! Ukiomba ruhusa kugombea ubunge huku una cheo kingine anakupa hio ruhusa haraka sana (anakutoa hio nafasi). Na ndio hiko kimefanyika kwa Makonda. Sasa shida iko wapi?Kuna watu na bahati zao. Wakati wengine wanawekewa zengwe la kutokuwa na tamaa ya ubunge kwa kuwa wana nyadhifa tayari, mpendwa anatolewa katika wadhifa wake na kuwekewa mazingira ya kugombea ubunge.
Sijui wanapeana nini hawa wawili?
Waziri Mkuu ajaeYes kaacha legacy yake, ngoja tumtazame kwenye uwaziri pia
Ulimsikiliza vizuri lakini mh. Rais??Kuna watu na bahati zao. Wakati wengine wanawekewa zengwe la kutokuwa na tamaa ya ubunge kwa kuwa wana nyadhifa tayari, mpendwa anatolewa katika wadhifa wake na kuwekewa mazingira ya kugombea ubunge.
Sijui wanapeana nini hawa wawili?
Nadhani hakulisikia hili mkuu.Kwani Rais alisemaje?! Ukiomba ruhusa kugombea ubunge huku una cheo kingine anakupa hio ruhusa haraka sana (anakutoa hio nafasi). Na ndio hiko kimefanyika kwa Makonda. Sasa shida iko wapi?