Dar es Salaam: Mlemavu wa ngozi anusurika kuuawa

Nasema Uongo Ndugu Zangu

JF-Expert Member
Apr 28, 2020
279
773
DAR ES SALAAM
Kijana Mohamed Rajabu mkazi wa Mabibo jijini Dar es Salaam amenusurika kuuawa kwa panga na watu wasiojulikana usiku wa jana.

Kijana huyo mwenye ulemavu wa ngozi (ualbino) sambamba na mtu aliyekuwa pamoja nae wakati wanavamiwa na watu wasiojulikana waliwasikia wavamizi hao wakiambiana "mkate mkono, mkate mkono".

Chanzo; Ukurasa rasmi wa Azam Tv, facebook.
 
Back
Top Bottom