Dar Es Salaam jiji lenye watu wengi.

Tukianza na mwenye gauni jekundu kalio kama linahitilafu
Kwa mbali, na huyo wa mwisho kupanda ngazi hapo centre mmmmh kama kuna kitu....
Kwa kifupi kuna kitu cha ziada hapo
 
Hivi zamani kipindi tunakua miaka ya 1990 haya mambo yalikuwa adimu sana hata ukimuona mwanamke kafungasha ni la kwake ya la kuzaliwa nalo lakini miaka hii mmmmmmhhhhh?
 
Sijui kama nikiwapa lift kwenye ka vitz kangu katasogea hata hatua moja!...
 
Ngoja tuone na wagogo nao wataambukizwa huu ujinga au itakuwa vipi.
 
Huyo wa mwisho kulia mwenye gauni la kijivu hapo kati kama pempazi imejaa. ..... ..
Macho hayana pazia.

Halafu wee fotografa siku nyingine wafotoe kwa mbele usiwafotoe kwa nyuma kamera itaungua
 
Hivi zamani kipindi tunakua miaka ya 1990 haya mambo yalikuwa adimu sana hata ukimuona mwanamke kafungasha ni la kwake ya la kuzaliwa nalo lakini miaka hii mmmmmmhhhhh?
Mm mwenyewe nashangaa aisee kati ya 10 bas wa2 tu ndio hawana
 
Wenye Vibamia hatukutakiwa kutizama hii mikitu
 
Mwenye nyekundu kama la Wema. Kitu toka mgongoni hadi karibu na mwisho wa paja
 
Wapi sheikh kipozeo . mzee wa mizigo iliyojazia neema za Allah[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…