kennedy0000
JF-Expert Member
- Apr 14, 2012
- 5,209
- 5,284
Naona ameandika ujinga mtupu kwenye muendelezo wa akili yake fupi,Hiyo documentary ni ya lini??
Maana kuna mambo lukuki ambayo nayaona yalisha fanyiwa kazi. mfano smart machines.
Mm nadhani ujinga ulio andika ukawape wakenya.....kwanza izo hadha zinazo onekana siyo Tz tu hata first world wana experience situation kama hii hasa peak hours ....unazungu mzia mji wenye wakazi 5+ millions na huu ndio unaonekana kuwa usafir waharaka na wabei nafuu kwa upande wa sehem kama kimara, Ubungo,morroco kuja katikati ya mji unategemea nini kama siyo kusanyiko kubwa kwenye vituo? Kwa sasa Dar inaenda next level inahitaj njia nyingi zaidi za usafiri mfano trains na kuboresha mwendo kasi kwakuongeza mabasi mengi zaidi.......kama treni ya Pugu tu kwa data za TRC imebeba abiria milion 5 kwa mwaka , unategemea nini kwa mwendo kasi? Hii project imefanikiwa kupitiliza mpka sasa inazidiwa kuna haja ya kutatua kero zilizopo na nimeona nyingi wamejitaid kuziondoaView attachment 1535911View attachment 1535913View attachment 1535916View attachment 1535917
Kwani wapi pengine ulimwenguni kuna kiswahili ukiondoa Tanzania?Kiswahili cha Watanzania ndio huwa inanichekesha. Wanalegeza ulimi kabisa na kuvuta maneno.
Nairobi mass commuter system is better thought out than what Tanzania has or will do in dar es salaam in future.We have been told many times that Dar BRT is a success story. But is that really the case? According to people who actually use it, the BRT is a failure that requires complete overhaul.
The buses and stations are crowded more than an Indian train station. Travellers are worried of contracting TB.
The waiting times are extraordinarily long. Paper ticketing no longer works.
As Nairobi prepares to launch its own brt on several corridors, how can we prevent the mistakes of Dar?
This is a report by ITV.
As expected, it has performed very poorly on YouTube with only 300 views. Nafikiri ni kwasababu sio video ya kuimba sifa za rais dokta John Pombe Magufuli, na serikali ya awamu ya tano.
Tuletee report yenu inayochambua kwanini nauli ya routes za Nairobi ni sawa na nauli kutoka mwanza mpaka mtwaraI was hoping hii ripoti will focus on alot of issues, the only thing naona hapa ni watu tu kuhojiwa, very shallow reporting
Also average transport cost on the Nairobi commuter rail costs between kshs 30 - kshs 60 to transport people as far as 50 km to and from Nairobi CBD. Compare that with Tzshs 1,400 or about Kes 70 for a two way commute on a 21 km line i.e. BRT system fares tend to be more expensive than commuter rail. This was the cause of a violent riot in Bogota.We have been told many times that Dar BRT is a success story. But is that really the case? According to people who actually use it, the BRT is a failure that requires complete overhaul.
The buses and stations are crowded more than an Indian train station. Travellers are worried of contracting TB.
The waiting times are extraordinarily long. Paper ticketing no longer works.
As Nairobi prepares to launch its own brt on several corridors, how can we prevent the mistakes of Dar?
This is a report by ITV.
As expected, it has performed very poorly on YouTube with only 300 views. Nafikiri ni kwasababu sio video ya kuimba sifa za rais dokta John Pombe Magufuli, na serikali ya awamu ya tano.
We jamaa sijui huwa unawaza na nini.husemi sababu ya kueleweka kwanini brt imefeli wakati zinaendelea kutoa huduma kama kawaida.Hiyo BRT ni mradi ulioangukia pua, mamia ya Watanzania wengi huomba zirejeshwe daladala za kawaida, niliwahi kujaribu kuitumia mara kadhaa ila kila nikikata tiketi najikuta nashuka nje ya kituo na kwenda kutafuta usafiri mwingine. Tatizo la hawa watu walivyolemazwa na ujamaa, huwa hawaambiliki.
We jamaa sijui huwa unawaza na nini.husemi sababu ya kueleweka kwanini brt imefeli wakati zinaendelea kutoa huduma kama kawaida.
Sio jukumu langu kuwaambia mnakwama wapi, inapaswa "wataalam" wenu kama mnao, wafanye utafiti kwanini huwa mradi unawatesa watu badala ya kutoa huduma ipasavyo. Tatizo kila "mtaalam" kwenu sasa hivi anaimba mapambio ya misifa na kuchumia tumbo, hakuna anayetaka kuieleza kama ilivyo.