Jamani hii ndiyo Dar es Salaam barabara ya Uhuru maeneo ya shule ya Uhuru na Biti Titi maeneo ya Akiba.
View attachment 166693
View attachment 166694
View attachment 166695
View attachment 166696
View attachment 166697
Serikali hata uipe miaka 100 ijayo hali hiyo itakuwa hivyo hivyo hakuna Viongozi imara watakao jaribu kuleta Maendeleo ya nchi. Nchi hatuna Viongozi, Viongozi walikuwepo wengi wao ni wasanii tu kwa hiyo nchi haiwezi kuendelea kabisa ESAMJamani hii ndiyo Dar es Salaam barabara ya Uhuru maeneo ya shule ya Uhuru na Biti Titi maeneo ya Akiba.
View attachment 166693
View attachment 166694
View attachment 166695
View attachment 166696
View attachment 166697
hahahah mkuu unapoteza muda wako wenyewe wanaibaWahusika mliopo juu tufanyieni mambo jamani mbona nyie mnaenda kwa wenzenu ina mana hamna mnachojifundisha au hata kuona aibu?
Kama yale ya Uholanzi?naona kuna basi hapo ambalo hupita nchi kavu na majini,hao wenye magari ambayo sio husika sijui wamenusurika kupita hapo,viongozi wa nchi hii watatuangamiza kwa kweli
Kama yale ya Uholanzi?
Naona mazoezi ili tupate kuzoea tusiwe washamba sana yatakapowasiliNdio hayo hayo mkuu sijui wanaotupenda wameamua kutuletea mapema ili tusije zama,tuanze kuyatumia jamani,hahahaaaaaaa,tz yangu mieeeeeeeeeeeeeeee