DAR 2 LAGOS na WHY ME

Blank page

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2015
Posts
6,160
Reaction score
6,304
Jamani naombeni msaada please anaeweza kunisaidia hii movie sikumbuki ni ya mwaka gani but amecheza marehemu steven kanumba,emmanuel myamba pamoja na nancy okoye wa nigeria na wengine wengi,aise ni movie nzuri sana DAR 2 LAGOS,Pia na picha nyingne ya dokta cheni ya zamani kidogo inaitwa why me? msaada wakuu nitashukuru sana kama nikiipata hata moja kati ya hizo wakuu.though najua ni za kitambo kidgo kipind vhs,nipo tayar hata kufata sehemu ambayo mtu anayo kwa hapa dar.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…