Danguro la Kaumba Morogoro limeua wengi

mdundo ngoma sana

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2016
Posts
1,002
Reaction score
956
Danguro hili lipo maeneo katikati na mji. Ni danguro lenye historia ndefu.

Kiufupi limewaangamiza vijana wengi wa kike na kiume, wanawake wanaojiuza hapo ni waathirika wa ugonjwa wa UKIMWI na wanausambaza kwa makusudi.

Makahaba kutoka sehemu mbalimbali za miji na mitaa mbalimbali ya wanawake wenye kujiuza wakikosa masoko huja Kaumba. Asilimia mia pasina shaka wanawake wa kaumba wana moto yaani umeme (UKIMWI).

Vijana wengi masikini wakifika pale haina kujadili, unauziwa buku tano mpaka tatu, ikifika night sana majimama yanachukua hadi buku mbili. Ndugu zangu wanaume mabingwa wa kujitoa muhanga, utamu mpelekee mkeo.

Kaumba ni UKIMWI mtupu, narudia kaumba pana UKIMWI na magonjwa yote ya zinaa, vijana ninaowafahamu na sasa wapo mbele ya haki ni wengi. Wito kwenu serikali, pale kuna guest kama nne hivi zimejaza makahaba.

Huduma zote za kikahaba zipo ndani, kwa miaka mingi zimekuwa zikifanya biashara za ngono, polisi wamekuwa wakipita tu na hakuna mabadiliko.

Serikali ifunge kabisa ule mtaa. Mkuu wa mkoa morogoro Kaumba ni kiwanda cha majeneza, kaumba ni killing zone ya vijana.

Wamiliki wa guest za Kaumba ni maajenti wa shetani.

Umefanya utafiti au umekuja na hisia za kuunganisha dot, hiyo kahumba na pale chipukizi hiyo kazi ipo toka miaka ya tisini, ingawa sina uhakina kama chipukizi bado pana operate mpaka sasa
 
Kaumba ndo nini sasa?? Kwan hao vijana wote unadhan hawana akili?? Mtu anauza k yake na watu wako tayari kununua we unajifanya kuuumiaaa...
 
Umeona mbali sanaa mkuu kaumba ni shidaa sanaa nimejionea mwenyew jinsi ngono inàvyofanyika maeneo yale lakin naskia mmilik wa eneo huwa haguswi vijana wengi wanaumia kwa kupenda majimama ya pale tena bei ndogo
 
Kaumba ndo nini sasa?? Kwan hao vijana wote unadhan hawana akili?? Mtu anauza k yake na watu wako tayari kununua we unajifanya kuuumiaaa...
Kwa IGNORANCE hii huoni mnaiongezea serikali gharama za kuwahudumia badala ya kuipunguzia..!?
 
miwaya ipo tu sio mpaka uipate kutoka kwa kahaba ata mkeo/mmeo anaweza kukuletea chamsingi ni kumuomba Mungu atuepushe na kuwa waaminifu
 
Naona makahaba wanauattack mtoa mada... Kawaharibia.ila ukweli Mungu anawaona ..kwa kuuza nyuchi zenu.
 
Hivi condom zipo siku hizi? Sijaziona siku nyingi sana,au huku nilipo ndiyo hazifiki? Huko kahumba mnazipata?
 
Umefanya utafiti au umekuja na hisia za kuunganisha dot, hiyo kahumba na pale chipukizi hiyo kazi ipo toka miaka ya tisini, ingawa sina uhakina kama chipukizi bado pana operate mpaka sasa
mnunuzi namba 1
 
Kaumba ndo nini sasa?? Kwan hao vijana wote unadhan hawana akili?? Mtu anauza k yake na watu wako tayari kununua we unajifanya kuuumiaaa...
bro nimeingilia maslahi yako lakini pole hata ukivaa kondom jua utanasa tu niamini
 
Kuna Itigi pia pale Msamvu. Usiku unaweza fikiri ni girls school. Vitoto vidogo vinajiuza pale hatari
 
Dume wametengeneza condom,aina mbili mpyaaa,kijana danguro zote duniani haya hazifungwi zinasimama kwa muda tu,kwa operation za muda, kaumba napafahamu toka niko primary kwenye miaka ya tisini nikiwa moro,hii ndo dunia
 
Eneo lenyewe linaitwa 'kaumba' basi sawa. Ila kama hadi wewe umejua yote haya amini serikali inayajua mengi zaidi ata si wakuwakumbusha

Nadhani labda huu uzi tu u address kwa viongozi wa kidini na wazazi wa huko Morogoro
 
kama serikali inajua kila kitu wangeteuliwa tu mawaziri pasina wabunge kupiga kelele.usitetee uovu maneno yanaishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…